正在加载视频...
视频加载失败
My country people.😂
340,723 次观看 • 3 年前 •via X (Twitter)
10 条评论

Hii sio sawa kabisa Hilda Lengo la Clip hii nikama unakejeli, Allah atakulipa kwa Kejeli zako.

Tena walizuia wanawake kuvaa hijjab,ila nchi imewalazimisha watu kuvaa full cover kuzuia kunguni .ALLAH AKBAR

Umeleta clip kwa lengo la Dhihaka kwa Dini isiyo na shaka ndani yake ya Islam ☪️ sawa ila France walipiga marufuku kuvaa ijab Abaya NK then Allah kaleta kungun na wanasayans wakashauli moja ya njia nzuri ni kuukava mwili wote kwa mavaz Mfano uvaaj wa ijab

Duuu sijui kama anataarifa ya matetemeko ya ardhi katika nchi za kiislamu na watu kibao wamekufa. Tusimfanye Mungu binamu yetu.

Umeileta hii clip lengo lako ni kukejeli but kilichoongelewa ni ukwel hakuna cha kuchekesha hapo

JUZI NIMEMSIKIA sheikh kishki kasema et France kwakua wamebani kuvaa ma hijab KWahiyo Mungu kawaletea kunguni kama ADHABU,, Leo Afghanistan wamepigwa na earthquake 2000+ wamekufa,, Nasi twasema kwakua AFGHANISTAN WAMEMKATAA YESU KAMA BWANA NA MWOKOZI WAO,, HAYO NDIO MAJIBU.

Wakristo bhana mna upotofu sana ila hamjui tu haya mbona yamo katika kitabu chenu kisa cha Nabii wa Allāh Musaa juu yake iwe amani na Firauni/Farao!!! Allāh anasema katika Qur-ani tukufu : {فَأَرْسَلْنَا عَلَيْهِمُ الطُّوفَانَ وَالْجَرَادَ وَالْقُمَّلَ وَالضَّفَادِعَ وَالدَّمَ

Kwa imani yetu tunaamini hivyo wala hakuna mashaka.

Mbona haichekeshi alichokizungumza ni sw kwa wenye imani,,hakuna kinachotokea ulimwenguni bila Mungu kuamua 7babu yey ndo mmiliki wa kila kitu hapa duniani na vyote uvionavyo na usivyoviona

Makfri wamejaa chuki nyoyoni mwao ila marejeo yao ni Jahannamu
