Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Mzee ana shida huyu
34,739 görüntüleme • 3 ay önce •via X (Twitter)
32 Yorum

Natamani Manara angejua hili; Tanzania ni Muungano wa nchi mbili, TANGANYIKA na ZANZIBAR. NCHI YA TANGANYIKA HAIJAFUTWA BALI JINA TANGANYIKA LIMEBADILISHWA NA KUITWA TANZANIA BARA... Tatizo uchawa unazidi kiwango na kumtoa mtu akili...!!

Huyu ulemavu umeingia mpaka kwenye ubongo ni wa kumsamehe

Hii ndio shida ya kumpa kazi kada, muungano ni wa Tanganyika na Zanzibar. Ndio ikaundwa Tanzania ni ujinga kuamini eti hakuna nchi inaitwa Tanganyika, sasa Zanzibar iliungana na nani?

mbona Haji yupo sawa sana hapa? jina la Tanganyika lilishakufa, na pia kuhusu kumpigia waziri tena yupo sahihi sana, haimaanishi asipigiwe kubalance mzani kwa sababu alishaongea

Mjinga akiwa anataka kuthibisha kwa watu yeye sio mjinga lazima aharibu zaid

Uelewa wa Manara ni mdogo sana

Huyu mpumbavu Manara ameweka sana uchama na uchawa mbele.

Alikuwa anawaweka sawa hapo mzee yuko right.

Oya ni jau 🙆♂️

Unajua nini jonh huyo hataki kukubali mabadiliko ya tabia nchi 😂😂🚮🚮

Anakataza wenzake kuingilia muda wa maongezi wakat yeye ndio kaongea sana kuliko wenzie

kisukari kimepanda😁

Makada wa CCM ni kama wamelishwa MAVi vle hata Jambo la Facts kazi yao kubisha tu! Jinga sana

His brain cells did not fully develop just like his skin, kilema huyu. Tusimtilie maanani

Ukipata nafasi ya kunukia karibu Bamaga au piga simu popote ulipo utafikishiwa; ☎️ 0678213259

alafu wenzake wanaongea polepole ye anakaaaza na ashawakwaza tayali kujiita professional

Hakuna mwandishi hapo. Huyo jamaa asipofukuzwa kazi hiyo media itaenda kufa kifo cha mende. Huyo jamaa hajawahi kuwa na akili. TFF hawakukosea kumtoa kwenye ulimwengu wa soka.

Manara ni bwege Anachojua ni kupanua mdomo tu na kujadilia a nae ni kazi Hajui chochote bali anjiona ana jua kuliko wenzake Muungano ni wa tanganyika na zanzibar ni elimu ya primary school haihataji kujua zaidi Huyu ni mbulula tu

@Walter_Timoth Edo mnafiki sana 😂😂😂haya endelea

propaganda mpya Tanganyika ilishakufa ila Zanzibar ilibaki, kesho tutaambiwa hakuna muungano ila kuna nchi moja Tanzania

Anajivishaga vyeo na na kujipa majukumu yaliyo nje ya uwezo wake.

Sijui anatumia bangi huyu?

Mzungu anazingua

@INFLUENCERjr Tena kubwa

Scar akili hana

Mbona kapanic 😅😅

Wewe nyumbu huna hoja oscar anakwambia ukwel na edo unapaniki harage wewe....

Mambo ya kuvutana ushikaji mwingi n.k ndio madhara yake..

Huyu nae ni ngedere kama ngedere wengine tu kmkmkmkmkmkmk

Huyoo kupeleka kelele tu palee

Kili hana uyo mboga mboga

@INFLUENCERjr Tatizo sope n kada, ndokinachomtesa uyu QUMA

