Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Na wote tuseme; AMEN 🙏🙏
42,383 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

ILA hii jinsia nyingine inawivu mpaka kwenye utaniii.....kwahiyo apo anahisi kweli izo hela kisha patiwa mwenzieeeee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Ajenda ni kula kunenepa 😂

😂😂😂

Simu yangu inasikika sauti kwa mbaaaaliiiiiiiii Sana nimesikia kama anasema Tanzania bila kutekana tekana ninchi Safi sana kwa kuishi. Ubarikiwe Mtoto mzuri kwa maombi haya

Mtoto anajua kazi ya Mama kupika ila ma feminists sasa 😳

😁😁mtoto kapagawa na sahani kwenye Meza, maneno yanamtoka tu.

Sala hii lazima ijibiwe mtoa MAOMBI Katia msisitizo "yaaani tuwe mavibonge yaaani tuwe na kukuwengi"

😁😁 baba awe na pesa mama apike msosi mkali 😁

Kula tuuu, kusoma aaaanh.,

Daah hii Sala inapaswa kuitika Kwa nguvu maana aliyeisali kaisali Kwa nguvu.. Amina
Похожие видео
Haïti 🇭🇹 chérie ❤️ Amen 🙏 👀👀 #Ayitipeupla #Haiti 💙
Michele B. Duvalier
22,453 просмотров • 3 лет назад
