NASIKIA HARUFU Is Out Now
@Roma_Mkatoliki1.4M followers
95,058 views
10 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@shabani_Gaddafi
Mwanangu humu ndani King Kong kakuua kinyama kafanya nyimbo imekua yake😁🔥🔥🔥
42 likes

@MussaNamkape
Benzino noma
33 likes

@UCHAMBUZU
Sema brother umeingia cha kike benzino kakukimbiza
16 likes

@Godzillah26
Kama kuna hipop itatokea kuwa kali u mwka na collabo kali na chemistry tam kama hii bs uyo msaniii ata umza kichwa sna bonge moja la dude limejaa Mistar mixer flooo.. Oya mmehua ili goma naliweka on repeat wiki nzima 🎶
16 likes

@Mwl_Mswati
Ila huyu Chid Benz asingekuwa mraibu wa madawa, ni mnyama sana. Kafanya unyama kinoma
14 likes

@Autodiagnosistz
Show it out to black x,he did it✅✅✅✅ 3mill views in 1 month twende
12 likes

@Roma_Mkatoliki
Ameen on it, s/o to X
8 likes

@RaphaelMheta
Nadeka kama anko... Kwenye kifua cha......
11 likes

@KayunJr1
Unakuza mwiili ila mashine haikui 😁😁 Chidi Benz miyeyusho San 😁😁😁
10 likes

@Topboy019
Anko shamte anadeka kifuani kwa mama dangote, weye Roma weye ntoto weye watafuta maneno weye.
8 likes