Loading video...
Video Failed to Load
#NipeniMauaYangu Is Out Now. Link 👇🏻
88,812 views • 3 years ago •via X (Twitter)
10 Comments

#NipeniMauaYangu

"Mimi sio ccm wala chadema ila ukiweka ccm na andazi nachukua andazi" 😁✊

Waited for so long Brother! Chukua maua yako! Tunakushukuru sana.

Anachelewesha msafara ni ng'ombe wa mbele ila anaechapwa ni wa nyuma

Yani wanangua papai kwa kutumia gobole, wanatumia nguvu kubwa kwenye mambo madogo, jeshi Gani mpaka Leo mmeshindwa kumjua @kigogo2014 🚶🚶🚶

Eti anayeweka msafara ni ng'ombe wa mbele ila anaochapwa ni wanyuma na ndo anapiga kelele ila Roma🔥🔥

Oya hii ngoma ni balaaa nimetoka kuisikiliza huko YouTube aaaah ngoma kali mamae

Wapwa tukaiangilie kwanz YouTube itrend 💥

#Wakazi muda huu huko yutubu👇

"Wakamlisha asali kwa kisu, akalamba akamwaga wino." Huezi skiliza nyimbo ya romba mara moja ukaielewa yote. Nefaaaa!!
Related Videos
Frickbear's 3 is OUT!! RIGHT NOW!! Link in replies!
Some Sorta SpookyRick
647,191 views • 3 months ago
