Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

30,975 просмотров • 9 месяцев назад •via X (Twitter)

Комментарии: 31

Фото профиля Gaison
Gaison9 месяцев назад

Kanisa haliongozwi kwa mtindo huo. 🤣🤣🤣 Askofu ana mamlaka kamili kwenye jimbo lake, Papa ataingilia tu pale ambapo maswala yanayohusu imani yamekiukwa na si vinginevyo.

Фото профиля Mama Keptoo
Mama Keptoo9 месяцев назад

Halafu waandishi ni mazwazwa sana! Wanaitwa na hawa mapoyoyo na wanaenda kabisa na kamera na maiki zao...

Фото профиля Baraka
Baraka9 месяцев назад

Ukosefu wa ajira kitu kibaya sana, angalia hawa wanchokifanya.

Фото профиля George Munic Jr
George Munic Jr9 месяцев назад

Genz picha zao tunazo sasa ama zao au ama zetu kokote ambapo tutakutana nao watakiona cha moto

Фото профиля JJ T
JJ T9 месяцев назад

Jumuiya ndogondogo zinamfahamu maana hakuna mkatoliki asiye na Jumuiya je sifa zote za mwanajumuiya aliyehai Anazo?

Фото профиля ——Gee
——Gee9 месяцев назад

😂😂😂😂😂 huwezi kuwa mkatoliki ukawa kilaza kiasi iki…. Na izo facial expressions zao 😂😂🙌🏽

Фото профиля Kadogo551
Kadogo5519 месяцев назад

Hawa ni waislamu waliojifanya wakristo inabidi kanisa katolik museme kama hao ni watu wenu maana wanaonekanaga misikitini na hata usemi zao zinadhihirisha kwamba wao ni akina nani AMKENI WAKRISTO SAMIA ANAFIKIRI ATAUA UKRISTO HATAFANIKIWA

Фото профиля Mwafrika🙏🙏🙏
Mwafrika🙏🙏🙏9 месяцев назад

Hawa wapuuzi wanadhani wakivaa rozari tutashindwa kuwatambua. Kusema tu shukrani kwa Mwenyezi Mungu anaonekana sio mkatoliki. Sisi wakristo hatutumii meno mwenyezi Mungu Tutolee usenge hapa🙌🙌

Фото профиля THE FIRST 🇮🇱
THE FIRST 🇮🇱9 месяцев назад

Propaganda kwa sasa ndiyo zinaendesha nchi Tumekuwa kama korea Kasikazini 🤪🤪🤪🤪🤪🤪🤪

Фото профиля Trixie Cleaning Solution 🫧 🧼
Trixie Cleaning Solution 🫧 🧼9 месяцев назад

mwanune akishakuwa mnene tuu linakuwa kama litahira kuna muda🚮🚮🚮

Фото профиля 𝐋𝐮𝐭𝐡𝐞𝐫 𝐀𝐤𝐲𝐨𝐨
𝐋𝐮𝐭𝐡𝐞𝐫 𝐀𝐤𝐲𝐨𝐨9 месяцев назад

Baada ya kushindwa kumuondolea uhai wake? Hao ndio wasiojulikana.

Фото профиля Freddy Mokili
Freddy Mokili9 месяцев назад

UVCCM wanajiita vijana wakatoliki

Фото профиля Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰
Tinah Mamantilie~mantilie wa X🥰9 месяцев назад

Sauti yake tu na uongeaji wake tu hyu sio mromani,Sasa nini faida ya yote haya mbona siku hzi kuna ujinga mwingi sana..Viongozi wajikite ktk kuongoza Nchi na kutatua changamoto za Nchi ..hz drama za bongo movie zimeshapitwa na wakati jmn tumeshachoka na hizi sinema.

Фото профиля THE1withNOname
THE1withNOname9 месяцев назад

Mbona wanaonekana vibaka kabisa

Фото профиля Jacob Massenge
Jacob Massenge9 месяцев назад

Hao waumini wanataka jumuiya gani, tulipata ufafanuzi apo tutawaamini la sivyo, yote ni upumbavu asanteni nawakilisha

Фото профиля Amani Ombase
Amani Ombase9 месяцев назад

Hawajui mfumo wa kanisa unavyo fanya kazi

Фото профиля Furaha Nzunda
Furaha Nzunda9 месяцев назад

Kanisa katoliki hatuna Dhehebu la kanisa katoliki, hawa kweli matako ya ibirisi

Фото профиля karios
karios9 месяцев назад

Njaa ni itaua watu

Фото профиля George Munic Jr
George Munic Jr9 месяцев назад

Mbwa wakubwa hawa wanatumika na CCM ili waweze kuuwaminisha Umma kwamba Padr Kitima anamakosa hawa ndiyp walw vijana ambao wanapaswa kuwajibishwa kokote ambapo wataonekana

Фото профиля augustino
augustino9 месяцев назад

Kwanza hawa wasengerema uta waona ni ashamba lwamza izo rozali walivyo zivaa wame vaa kishamba una wezajw vaa rozali juu ya shati ili kwamba uonekane wewe MKATOLIKI?

Фото профиля Swaleh-Mirongoh 🇰🇪🇹🇿
Swaleh-Mirongoh 🇰🇪🇹🇿9 месяцев назад

People tend to joke a lot ,This will haunt this mofos one day ,

Фото профиля Muha
Muha9 месяцев назад

aah kumamake aisee kwani Hawa mafala si tunakaa nao kitaa?

Фото профиля Suzuki Japanese
Suzuki Japanese9 месяцев назад

Huyo jamaa akaunti yake hii hapa Fb

Фото профиля Derick_kenzil
Derick_kenzil9 месяцев назад

😂😂😂 sinema zetu hakika ni za kwetu, ona walivovaa rozali😀 eti wakatoliki🚮🚮

Фото профиля TheDarkNightZombie
TheDarkNightZombie9 месяцев назад

Mdomo wake kama mkundu wa kuku

Фото профиля CHECKMATE
CHECKMATE9 месяцев назад

Rozari inekua Tai..vijana tafuteni kazi mate helaa ....mtu kama bongee mwenye shati jeupee tako lako laini sana mwanangu kazaaa utauponzaaa.....mnafikiri kila mtu Ana right of audience uko Vatican barua itachanwa njian hahaha

Фото профиля Kilaza Wa Mwisho.
Kilaza Wa Mwisho.9 месяцев назад

Kuvaa hizo lozali shingoni ndio tuamini nini sasa ujinga wao😂

Фото профиля FATTAH 1
FATTAH 19 месяцев назад

Hii nchi bhana ujinga mwingiiiiiii

Фото профиля kigoma mabegan😎
kigoma mabegan😎9 месяцев назад

Hawa nao njaaa zitawauwa tu,UVCCM kila njia mnayo tumia kuwadanganya raia hzo ni njia za zamani

Фото профиля Manga
Manga9 месяцев назад

Hapa umeshikwa tako mana si kawaida yako

Фото профиля Linda Johansen
Linda Johansen9 месяцев назад

Samia anajifanya eti kila mtu anayesema ukweli kuhusu mauchafu yake anaweza kummudu.Hivi kumbe elimu ya darasani nayo inasaidia jamani.Msiache kuwapeleka watoto wenu shule na kuwasisitiza wafaulu masomo yao,hii FFF ni aibu kwa maendeleo ya Tanganyika jamani. Aibu+Uchu wa madaraka

Похожие видео