Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Nchi NGUMU kisenge hii.
12,186 Aufrufe • vor 5 Monaten •via X (Twitter)
7 Kommentare

@mhabukat Lissu anatupambania sisi lakini sisi hatuoneshi kumpigania yeye hata kidogo, badala yake tumemuongezea jukumu lingine la kujipigania mahakamani kwa mda usiojulikana 🥹🥹. Tunajua anaonewa lakini hatuchukui hatua za makusudi na gharama ndio maana watesi wanamuongeza adhabu. 😭

Bila maandamano hii Nchi itaendelea kuwa ngumu

Wamewa switch mjadala

Lissu mwenyewe ndiye aliyetaka kuwa hapo alipo kwa sababu ya kauli zake ambazo ziliashiria uhaini ndio maana yupo hapo alipo mtu mwingine ambaye anatakiwa awepo Gerezani ni Heche huyu ndiye msababishi mkuu wa vurugu za 29 alisema atazuia uchaguzi usidanyie kwa gharama yoyote.

Aliyeelewa anieleweshe

Kauli ya jumla bila ushahidi haina uzito wa uchambuzi Matusi hupunguza nguvu ya hoja Suluhisho linahitaji data na mifano, si hisia pekee Ukikosa hoja, matusi hayabadilishi ukweli yanabadili tu sauti ya mjadala.

Mnamkataa tena wakili?
