Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Nimecheka kifala ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

24,505 Aufrufe โ€ข vor 8 Monaten โ€ขvia X (Twitter)

35 Kommentare

Profilbild von Ayie Tag
Ayie Tagvor 8 Monaten

Ninachowaomba Wanacdm, Bawacha, Bavicha msiogope na kuanza kukimbia pale Polisi wanapokuja na kusema tunawakamata. Semeni kwa pmj tukamateni kama kukaa chini kaeni na kusema hatutoki hapa. Mnapokimbia mnawapa nafasi ya kuwatenganisha na kuwakamata moja2. Tunarekodi kila TUKIO

Profilbild von Felius Festo
Felius Festovor 8 Monaten

@Tz_Kwanza Afande RPC anataka wanawake wamuogope..... Mambo ya ajabu Mura

Profilbild von Hilda Newton
Hilda Newtonvor 8 Monaten

@Tz_Kwanza Mjinga sana, wamuogope yeye Mungu.

Profilbild von saint sinner
saint sinnervor 8 Monaten

Tunaweza tukalaumu police wetu kumbe walishapewaga limbwata na raisi

Profilbild von Ulimwengu Nyota
Ulimwengu Nyotavor 8 Monaten

@Sir_Shuma Polisi mwenye nyota kiongozi mkubwa wa polisi unasema uongo hata shetani anakushangaa wafanye vurugu wao ni vichaa.vurugu wasifanye kokote wake kumfanyia msoma????

Profilbild von Kanjanja
Kanjanjavor 8 Monaten

Hakika hawa police CCM wana uwozo wa akili sio bure na huwa hawakomi ni kitu cha aibu kwa taifa

Profilbild von DeezyMe
DeezyMevor 8 Monaten

@peppatz @tanpol Kwani wananchi wanpaswa wawaogope? Kwani ninyi mko juu ya Sheria since when?? My understanding kulingana na Katiba yetu na ubovu wake, no one is above the law. Fanyeni kazi kwa mujibu wa sheria na Katiba. Matamko yenu ya kisisiemu hayajengi. Stop operating with impunity

Profilbild von Pusha
Pushavor 8 Monaten

Kwani hawa polisi na familia zao wanakaa mbinguni? Mnashindwa kujipanga kudeal nao ? Acheni kulialia kila sikuโ€ฆ Mnaudhi sana..deal with them accordingly na uonevu utaisha Mara moja. Polisi wanafanya huu upumbavu because hakuna consequences kwaoโ€ฆchange that..

Profilbild von Mhenga wakizazi kipya๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Mhenga wakizazi kipya๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟvor 8 Monaten

๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃhii nchi na uongozi wake wote wa fisiemu ni vikatuni

Profilbild von TheAngryBlackGuy
TheAngryBlackGuyvor 8 Monaten

@mzalendo_taifa Kwani kuogopa polisi ni sheria?! Kwa hiyo usipoogopa polisi unakuwa umevunja sheria?!

Profilbild von Eberi Manya
Eberi Manyavor 8 Monaten

Hivi haogopi kuzumgumza uongo na huo umri alionao?? Mzee mzima anasema uongo kwa lengo la kujipendekeza tu kwa watawala.

Profilbild von Topten
Toptenvor 8 Monaten

Check tulivyokaukiana kwanza, nashukuru Mungu hakuna polisi kwenye ukoo wetu imagine unakua mtu mzima alaf unakua unaamrishwa Cha kufanya Kama jibwa utaacha kubwabwaja usenge Kama huu? ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

Profilbild von George Tibaijuka
George Tibaijukavor 8 Monaten

@mackphason Kwa hiyo mlitaka kuogopwa ? Polisi ya Tanzania bhanaa๐Ÿ˜ƒ! Hii ni taasis ya serikali kweli ?

Profilbild von TrueDemocrat๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ด
TrueDemocrat๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ดvor 8 Monaten

Kwanini polisi waogopwe?

Profilbild von Sekenke One ๐ŸŒป
Sekenke One ๐ŸŒปvor 8 Monaten

Vurugu wanaanzishaga polisi, afu kwenye media lawama kwa chadema, ๐Ÿ˜

Profilbild von Diego Muller
Diego Mullervor 8 Monaten

@tanpol ni wauwaji. MURDERERS. Wanalaana wote. ๐Ÿšฎ

Profilbild von Gaidi Mzalendo๐Ÿ•Š๏ธ
Gaidi Mzalendo๐Ÿ•Š๏ธvor 8 Monaten

@AlexSamoja ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Profilbild von Pdizaina
Pdizainavor 8 Monaten

@MnunguSaid99197 Kwahyo kumbe mnataka kuogopwa

Profilbild von Alien ๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ‘ฝ
Alien ๐Ÿ‘ฝ๐Ÿ‘ฝvor 8 Monaten

Ila police dah ๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Profilbild von Joblube4
Joblube4vor 8 Monaten

@MnunguSaid99197 Division 4 ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Profilbild von TATA MTANGANYIKA
TATA MTANGANYIKAvor 8 Monaten

@UchafuziM Mbwa koko nyie. Eti polisi? Kuna polisi tanzania? Nyambaf

Profilbild von ELR
ELRvor 8 Monaten

So polisi wanataka kuogopwa na still wanasisitiza ushirikiano kutoka kwa jamii! So is beyond insanity ๐Ÿ™„ #KATAA WAHUNI#

Profilbild von Alen mushi
Alen mushivor 8 Monaten

Mnatia aibu kwakweli hichi nikipindi cha kutafuta maridhiano bado mnafanya mambo ya ajabu sana

Profilbild von CPA (T) Neema Kasanga
CPA (T) Neema Kasangavor 8 Monaten

Kuna namna unaweza kujikuta unaongea jambo gumu. Haya bhana, tukutane mwakani.

Profilbild von kajoka
kajokavor 8 Monaten

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Profilbild von Babna
Babnavor 8 Monaten

Hawa watu ni TAKATAKA ๐Ÿšฎ

Profilbild von Just Talk Jr
Just Talk Jrvor 8 Monaten

Haya mazee yenye midomo kama vinyeo wanayatoaga wapi??๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

Profilbild von gery teacher
gery teachervor 8 Monaten

Kumbe polisi wanataka tuwaogope kha

Profilbild von Republican Gozer
Republican Gozervor 8 Monaten

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ kumbe kusema siwaogopi polis ni kufanya vurugu?

Profilbild von Jn๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช
Jn๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ชvor 8 Monaten

@PoliceTanzania Kwa hiyo mlitaka kuogopwa? Murderous

Profilbild von Me&me
Me&mevor 8 Monaten

Jeshi la polisi la uongo uongo limepoteza weredi

Profilbild von The head of the Table
The head of the Tablevor 8 Monaten

Muulize zingetikea athari gani..?

Profilbild von Minja
Minjavor 8 Monaten

Tuna polisi wa ajabu. 2026 wanaume na tepe zenu mnazuia wanawake kutembea kuadhimisha siku ya wanawake duniani? Nyie man ziki kubwa hata majumbani mwenu. Mnajizolea Laana za bure mchanaaaa

Profilbild von Ectory Komba
Ectory Kombavor 8 Monaten

@NectoKitiga Kwani kutowaogopa polisi ni kosa?Na kwa nini waogopwe? Haya ni maajabu!!!

Profilbild von Mkerewe
Mkerewevor 8 Monaten

Afirica bado tuna amini ukoloni ๐Ÿ˜ฅ

ร„hnliche Videos