正在加载视频...

视频加载失败

Nimeipenda hii sana.❤️

52,084 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

mpolokwane 的头像
mpolokwane1 年前

Mimi hadi kidato cha pili cha pili nilikuwa nikipangwa morning talk nakula nyoya kuongea mbele za watu hadi leo hii 30's siwezi😀

Gongoligo 的头像
Gongoligo1 年前

Hiv hawa watoto ni elimu ndo inawafanya wajue kuongea vizr hiv au malezi au wengine ni born with?

Dr Luke Jr MD 的头像
Dr Luke Jr MD1 年前

Mtoto kama huyu kila mzaz anatamani kuwa nae. she is bright ❤️

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

take the journey

Deep thoughts ⭐ 的头像
Deep thoughts ⭐1 年前

Huu ushuhuda haujapangwa wala kua scripted mahali pure testimony pure soul pure heart

paradise(PJ) 的头像
paradise(PJ)1 年前

Ila sema pastoyana nyashi ya kwenda

Hussein Mohamed 的头像
Hussein Mohamed1 年前

Haya ni malezi bora kwa wazazi wake na walimu wake . Sio wale wa kufunza watoto kuchamba . Hongera kwa hii family na kiongozi wao wa dini kwa kumsapoti mtoto pia . 🤝🤝🤝🤝🔥

CAPTAIN 的头像
CAPTAIN1 年前

Hili kanisa liko wapi,Nina shida na mama mchungaji.

Christian John 的头像
Christian John1 年前

❤❤❤❤

muuza_pipi 的头像
muuza_pipi1 年前

Mahali nimechoka mtoto kajichanga akamtunze ma mtumish

Baba G 的头像
Baba G1 年前

Kwanini wanangu hawako ivi? Au mungu kawapa vipawa vingine?

相关视频