Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Nimemuonea Huruma Jamani😢
83,443 просмотров • 3 месяцев назад •via X (Twitter)
Комментарии: 33

Maishacyanahitaji nidhamu kubwa Haswa pale unapouona mlango wa mafanikio

Aje nimpe bajaj mkataba

😅😅 waja mnamaneno

Hili lina hela acheni kujifariji sas mtu anakodi ndege anakaa mwenye ndani anasafiri halafu mnamuonea huruma 😂

Huruma sio malezi

mmh sio vizuri

Mchezaji mzuri aliyeponzwa na ujinga

Ujinga wake umemponza

alifanyaje kwani

Mimi hunionei huruma my?

njoo ulambe hata kwapa mahii🥰

Let’s do this 😋😋😋

mzee wa matusi

Huruma ya nini sasa?

Mpe tu .

Unaewa umuonee huruma anayetakiwa akuhurumie 😅

Kwamba hata singida anakosa namba

kampe

nimpe nini?

pole

Kwan kwao ameuwa si arudi tu

Huruma wkt ana pesa zake hyo yup vzur bado sio km wachezaji wa kibongo

Daah Sema nyakati zake Bana

Life walai

What comes around, goes around 😎

Mpe

Huruma ya nini?

Kiswahili anakijua vizuri kabisa

😅😅mnamuonea huruma kwa lipi uyo mjinga pesa anayo tena ya kutosha tu

Huruma sio malezi

Life

si arudi kwao

Anapenda mademu kinyama. Wamemchuna hela zote saivi anatoa macho tu

