Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Nimeumia sana
10 Yorum

Maoni kama haya wabunge hawapigi makofi Nchii imejaa matapeli hii

Yaaani nchi imejaa wezi in buying those posh car there is 10 percent

TATIZO Ni wananchi wenyewe tunakosea kuwa na msimamo, viongozi wanatuona wapumbavu, ilitakiwa kuwe na direct power kutoka Kwa wananchi kupitia maandamano , na spaces

@OmaryAbdal14362 This is what we lack wakenya hayo maandamano wameyapangia tiktok

Viongozi hawajali kuhusu wananchi. Wanajali starehe zao Tu. So sad.

Ni kwa kuwa wananchi hatujawafanya watujali

Hivi hawa wakuu nanani nilazima watembelee v8

Si wametuona sisi mazombi

Huwez sikia meza ikigongwa kwny hoja kama hizi sabab zinakatisha kakitu, ts very interesting 🙌

Aiseeee mambo kama haya huoni yanazungumzwa humu X na wazeee wa 30k wao ni mapambio tuu @Eric__Bernard @__abdulazack izi clip huwa hamzioni mkapost
