正在加载视频...

视频加载失败

26,946 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

🅹🅾🅶🅾🅾 🆆🅰 🆂🅷🅰🅼🅱🅰 的头像
🅹🅾🅶🅾🅾 🆆🅰 🆂🅷🅰🅼🅱🅰1 年前

Aliyoyasema Mbowe hayafai, aliyasema akiwa na lengo la kuua Chama maana ni nyinyi mliotuambia Mbowe ameuza Chama na hastahili kuendelea kuwa Mkiti wa Chadema. Au Lema umesahau hotuba yako!? Leo maneno ya Mbowe yamekuwa na maana!? Acha huu mchezo wa kitoto

Logic Analyst 的头像
Logic Analyst1 年前

Hii Agenda Mliipora kipind cha uchaguzi ikawa yenu. Na mkaitumia kama agenda yenu kupata kura za Wajumbe😀. Msitafute pakufia @freemanmbowetz alituchelewesha sana. Pambaneni Makamanda Oct uchaguzi usifanyike tuwape sifa kwenu na mkifeli ni nyinyi mtuambie kwa nini?

Godson Salema 的头像
Godson Salema1 年前

.Hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi ✌️

Mansa Mussa 的头像
Mansa Mussa1 年前

Chochote alichokiongea Mbowe huku akiwa amelamba asali hakiwezi kutiliwa maanani

Jabir jr 的头像
Jabir jr1 年前

Mbowe hana time na nyie

Rock Paper Sizzle 的头像
Rock Paper Sizzle1 年前

💪 Merica, we're taking it back. 💯 You like Trump, you know it, time to show it. ✅ T's for Trump here:

PAPA G 的头像
PAPA G1 年前

Lissu will fix it.

tonito 的头像
tonito1 年前

Heee!!!!!! Wewe tena!!!!!!!, Mbowe mbaya sasa umeanza kutumia clip zake za nyuma ili upaishe Chadema. Ama kweli nimeamini mwisho wa ubaya aibu.

Kisheti 的头像
Kisheti1 年前

Hip hop

Rajabu Mkalipa 的头像
Rajabu Mkalipa1 年前

Wapiganaji wote hawapaswi kukata tamaa katika kupigania harakati za kutafuta haki na Demokrasia ya kweli.

相关视频