Loading video...
Video Failed to Load
nyie hili limtu nyoko kabisa... 💪
10 Comments

Oya Big sheshe ,Tajiri Abas Madee kishasema Papaa Jones noma mimi siji huko kwa S2kizzy labda mpigieni mzee Yusuph

hahahahah

Tumcheki Tajiri abbasi au sheshe ampe go ahead young lunya 😃

@KHALIGRAPH motoooo 🔥🔥 5 Years ago 👍

@MdemuPolycarp kwa kifupi huyu jamaa marapper wetu kawazidi mpaka dhambi na huu ndo uhalsia, bongo rappers wamelala sana asee, tukshasklza makelele ya lunya basi tunaona tumemalza 🤣🤣

Mwambie Kibaha Finest atoke kabatini humo ajaribu kurusha jiwe 😂

Jitu la kujengwa hilo jitu kama basi za wakenya

hakuna mtu kuama nchi yake

"And i gotta cut it short ndio TID asijam, Cause this his song and he knows i ain't giving him none " 🔥🔥🔥

TID afanye namna apewe maua yake na khaligraph,hii beat na chorus inampeleka mjini uyu Arif.
