正在加载视频...

视频加载失败

Ogopa sana teknolojia !!

59,041 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

SATIVA17 的头像
SATIVA172 年前

Huyu NI TAPELI

V E N N A📸 的头像
V E N N A📸2 年前

Hapa kuna namna watu wamepiga pesa😅

Classic Cars 的头像
Classic Cars2 年前

Hawa matapeli wametumwa na Try again na Mangungu

Johnstone Japhet 的头像
Johnstone Japhet2 年前

😂😂

Charlotte 🇨🇦 的头像
Charlotte 🇨🇦2 年前

Ndo maana tumesema baada ya kumaliza kuropoka kwenye Press ajiuzuru

Daniel Benson Mwandi 的头像
Daniel Benson Mwandi2 年前

Hivi mfano MO akaondoka na kuiacha Simba huyu anaweza kumsajili mchezaji hata milioni tano tuuu?

ABDUL EL BATTAWY 的头像
ABDUL EL BATTAWY2 年前

Hawa ndio vijana mnaosema tuwaamini tuwape nafasi

Nina stori kama hiyo 的头像
Nina stori kama hiyo2 年前

Lazima ulinde brand ila yakikushinda unasema ukweli sio shida… mwanzo aliongopa kwa kuwa mambo yalikuwa ya kifamilia sasa watu wanatudidimiza hawataki ufamilia kaamua aseme ukweli.. kocha wa makipa ameshasema kuwa wakitaka simba iwe inashinda au kuchukua makombe wafukuzwe wote

Kallaye, H 的头像
Kallaye, H2 年前

Huyo CPA na wajumbe wenzake waondoke walikuwa wapi muda wote huo kusema walioyosema leo? Ona sasa aanajiumbua ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu

Material KD 的头像
Material KD2 年前

Yeye kama haridhishwi na management ya mo dewji si atoke tu ..... mpira unahitaji pesa Kama tunaanza kuwafanyia figisu wawekezaji mpira hautofika mbali

相关视频