πππππππ Ishukuriwe teknolojia!
@EduTalkTz44K followers
30,739 views
30 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@MbulahSha
Majibu ya mahojiano ya jana ya Kigaila kuna namna CHADEMA ilikuwa inahadaa watu.Hawa G55 ni mfereji umekatwa na wanachuki za wazi kwa uongozi mpya si sababu wanazosema.
8 likes

@field_forester
Ukitaka kujua kichaka kina nyoka au laa choma moto, watatoka tu
6 likes

@muu09_
Sijui ni kwanini jitu likiwa lijinga na lipumbavu hadi Sura yake inaonesha hivyo
4 likes

@bilohimself
Huyu mzee naona kama anajibana kasema swala la reform linahitaji kukaa na serikali wao walivokaa nao.ilileta matokeo gani kwenye sekta ya reform?π€£π€£π€£ Wanasiasa wengi wako after money huo ndo ukweli
3 likes

@BarakaJeremia5
Kajibu vizuri
1 like

@iam_sobo
Halafu tuzo anapewa mvaa makapeloo! Kama Nelly
1 like

@Mabuyashop
Afadhali odemba umetusaidia kumvua nguo huyo ni ndugu yangu lakini ni mpuuzi sana Bora anganyamaza tu uroho wa madaraka
1 like

@JosephWang62218
Mpk kacheka, njia ya uongo ni fupi sana
1 like

@Bwashee_
The way he spits nonsense and keeps repeating the same thing is maddening.
1 like

@SamsonDanielDS
Aliweka VAR Jana alimbana mnoo
1 like

@ulyankulu1
Hizi takataka za @freemanmbowetz ni hatari sana ktk taifa
1 like

@gmjskisonoko
Sema mwamba kajibu vzuri na majibu yake yana mashiko
1 like

@MseseMisan16637
Huyo hawezi rudi hapo

@ZablonSajo55371
ππππ

@shizo754
Mzee rungwe kwakweli inabidi afanye mpango wa kutembea na muhuri wa chama kila sekunde na asirndekeze kula ubwabwa hawa jamaa watawapeleka wake zao bungeni.

@mojaimwe
Ngumi za utosi tu

@JebinKpfmkumbae
Mamaeee! Ushauri. Fungua akaunti iite "ASANTE TEKNOLOJIA"

@Meshack_A_Ndoje
Hapo moyoni unakuta kajisemea Odemba msee nini!

@ShineDaud
ππ uyu mzee ni mnafki sana

@GeofreyKis18280
Odemba Ana masiala








