Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Once CHADEMA Always CHADEMA
37,994 Aufrufe • vor 3 Jahren •via X (Twitter)
33 Kommentare

CHADEMA MMEINAJISI WEWE NA HUYU MPARE #SIKU MRUDI BILA KUOMBA RADHI HADHARANI #JUKWAANI MTAJUA HAMJUI .....CHADEMA KWASASA HAIHUSIANI NA MASALITI TAKA TAKA KAMA NYIE

Eeeeeeh!! Ninyi si mlikisaliti chama kisa vipande vya fedha na dhahabu? Au mnaweza kutueleze ukweli gani umma wa watanzania tukawaelewa? Watanzania tunamuamini mbowe peke yake ndio mzalendo wa kweli na mtu mwenye dhamira ya kweli ya mageuzi ninyi wengine☻

Toka apa. Mfyuu. Kwani unadhani atapata tena nafasi ya uongozi chamani? Hapo anajifaragua ili maccm yamtumie tena apate kahela. Ni kama nyinyi. Baada ya deal lenu na maccm likiisha hamna chenu.

Tatizo unsjiongelesha bila kuchukua hatua ya kwenda kuomba msamaha alafu Nyie wanawake huwa mnashawishiwa na vitu vidogo Hadi mnaboa

Mnakaribishwa ACT

Acha kujikomba msaliti mkubwa wewe ulishafukuzwa chamani unaitajataja chadema inakuhusu?, dhambi ya usaliti itawatafuna mbwa nyie!

Kwani mashumbuzii yupo wapiiiii😂😂😂😂

Wanafq

🤣❤️🤍💙

Hata ww rudi mwenzio anaanza kutapatapa na moyo wake na hata COVID 19 mnakaribishwa ila sharti lazima MUOMBE MSAMAHA KWA MATAMAA YENU.

TATZO WAFUASI WA CHADEMA WENGI AKILI HAWANA TOKA LINI MKAKATAA WANACHAMA MTU WA KARIBA YA DR SLAA NI POTENTIAL ,MDEE NA WENZAKE PIA NI WATU MUHIM SANA WATAONGEZA NGUVU ,,,NAMUAMIN MBOWE LAZIMA AWAVUTE CHADEMA HAWA MAKAMANDA ,,,,,SAYANSI YA SIASA#Siasa ni watu

Naona Malaya wa kisiasa na kimwili mnajisogeza kwa msaada wa CCM ili kuvuruga CHADEMA . Imeshajulikana mnapangwa na Samia kimkakati. BLADIFAKENI zenu Covid-19 na Slaa wenu.

Dada yangu Esther umetukosea sana ila bado una nafasi. Kumbuka mkoa wetu hatukuwa na wanasiasa malaya malaya kama babu yetu mwl nyerere alivyo jaribu kutugunza kwa mwanasiasa anayefika bei. Weka heshima ya mkoa wetu, tafadhal usimfate mzee mdee, mm najua ww ulishawishiwa tu

We sio mwana CHADEMA!!!

Wish to see you once more in the combat,mchutame mrejee kikosini,

Yaani huyo kujiongelesha haimaanishi na yeye ndivyo alikuwa mwanzo , mambo imebadilika

You once welcome again

Ombeni msamaha mrudi kwenye chama naamin mtapokelewa hizo pesa haramu jasho la watz mnalojiingizia muache

Kwakweli wanaichi mlishatuona manyumbu hakika siyasa ya Tanzania ni maji taka kama mtu mwenye akili ni kuachana na siasa

Aya

Esther Bulaya, @esteramosbulaya you're an opportunist.

Soma upepo nenda nawakati usiende na elimu njoo dm nikushauri kitu kwa faida japo sijaenda hata elimu ya awali

Mbali na yote yaliyopita bado tunakupenda sister fanya tu urudi mama @freemanmbowetz fanyeni myamalize baba

Sister umuhimu wako chamani ni muhimu fanyeni yaishe tukipambanie chama kuomba radhi siudumavu ni ukomavuu

We Dada ni bora unyameze msaliti wwe fala

Nendeni ccm inawatosha kabisa

He come for special mission, as he did previously.

Dada kuomba msamaha sio ujinga ni ukomavu wa kisiasa tunakuhitaji bado nafasi ipo

Mnapenyezewa Tena matapeli kwenye Chama kuja kuwavuruga nanyie mnawapokea Yan ccm imeshawajulia sana,

Watoto wasiwakoseshe amani

Once Ccm always Ccm, your Ccm by blood

ONCE BEtrayer Always Betrayer🙄🙄

Duuh! Nawe bado upo?! 😂😂
