Loading video...
Video Failed to Load
OUT NOW ‼️ #MIMI_NI_NANI⁉️ LINK 👇🏻
127,000 views • 3 years ago •via X (Twitter)
10 Comments

Hii nyimbo imeniacha na maswali mengi kichwani sijajuwa ata yajibu Nani..??😨🥺

Unajua kuteka hisia za watu kaka hapa ndo nimeamini msanii lazima ujue kuteka hisia za mashabiki

Mi Nacheka sana😃😅 Kuna vitu vingi vya maana vya kuimba kila kona Sasa, inakuaje unataja taja majina Nyimbo nzima tena…. “Afande sele et al(2003) Darubini Kali

Hii nyimbo roma umetupiga mzee au niisikilize tena labda ntaelewa neno kuuwa umelitaja mara nyingi kuliko hata biti lenyewe ni siwe mnafiki hapa sikupi maua nakupa maandazi .

Verse 1. NYERERE HAKUFA KWA kansa ya damu mnajidanganya na wengi hamjanifahamu nilimuaa mwalimu huko uingereza mv spice ile ajali nilitengeneza 😀😀🙌🏿 Sauzi wakasema uje umuue ruge Verse 2. sina mipaka ndo mana nkautoa uhai wa mkapa mpaka mnazika sikusita kumfuata MAGU!!!!🤣🙌🏿

Hamna kitu bro,hamna mvuto wowote this is 2023 unatuletea nyimbo ya kutaja majina mwanzo mwisho,wee ni nani asa ndo nini??😂😂 daah

Chumaaaa

Roma mjanjaa sana 😀😀anamix mix vitu ili tusimuelewe anaongea nn sema nmekusoma man ngoma kali hii umejua kumix nidiz za maharage na nyama sahani moja ili tusijue hii ni protein ama carbohydrates kudadeki

Amna kitu brother umetusumbua bule kabisa kwa uwandishi wa kitoto kama hu bora nikasikilize KIFO YA TOXIC ameandika sana mule lakin sio hi yako 😥😥

Wewe ni kifo kitokanacho na Siasa unaua kwa ajili ya maslahi yako na inapotokea kuna ajenda ya Taifa basi utaua ili kupindisha au kusahaulisha watu hiyo ajenda.
Related Videos
Sensitive content
何イチャイチャついてるんだよ⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️⁉️ もう結婚しろって‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️‼️ コロサン供給過多で無事に死亡しました #原神予告番組
ピィℙ𝑖ィₘᵢ謎煙ノƝ𝗨シ⸜⸝⸜⸝⸜⸝⸜⸝⸜⸝⸜⸝⸜⸝⸜ꫂ ၴႅၴ
83,218 views • 1 month ago
