6 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@Rydx_017
Nothern Tanzania
361 likes

@Rydx_017
Movie mpya iliyo toka December 2024, Imeigiziwa, Tanzania katika mbuga za Seremgeti.. Movie hiyo inaelezea historia ya Baba mwenye kisasi anayemjenga mwanae kuja kuwa muwindaji mkubwa na anaeogopwa.. Angalia baadhi ya parts zilizo chezwa Tanzania... Video kwa Comments ๐
2,288 likes

@Rydx_017
It's a Green Effect, of Serengeti Tanzania ๐น๐ฟ Not actually Tanzania, but Shout outs to the Producers kwa kuitangaza Tz
58 likes

@Rydx_017
Some parts za Movie ๐๐ฅฑ
76 likes

@GW1J1
Tuwe tunawekea condition ktk scene Kazaa wawe wanaongea Kiswahili

@NoreenToroka
Greater Kudu