Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Pole Shemeji
36,643 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

Lema×3 nimeandika jinalako mara tatu huhu ni ujumbe wangu kwenu wapinzani jamani chonde chonde utawala wa Samia unakaribiakuanguka na atatesa sana na kuua lakini mwisho wake umekaribia sasa basi ninawaomba kila mpinzani alienauwezo wakumiliki silaha anunue hali nimbaya jilindeni

@daviddjumbe Samia na Polisi wake wamemuuq Mdude. Kilichowapeleka ni kuua. Kama walikuwa na nyundo wakampiganayo kichwani wameua. Ila inauma tunawezaje kuwa na rais asiyejali vilio vya Watanganyika. Watgk wananunuliwa kuwaua watgk wenzao. Samia atakimbilia Oman vp ww Mtgk UTAKIMBILIA WAPI?😭

Mh Lema, natumahii hata wewe moyo unakuuma au na ww una wacwac? Mm wacwac wngu ni hizo damu maana hatujui Ndg yetu kapigwa wapi mpaka kupelekea hizo damu kuvuja hivyo

Washamuua kamanda, kwa maelezo ya huyu mama, tuombe tu tupate mabaki ya mwili wake inshallah. Ila Mwisho unalaribia na hawa pia watalipa kama waovu wengine. Glory hallelujah x 2! Free at last x 2. Thank you God almingty.

Kweli aliefanya hivi ana moyo kweli na anajua kua na yeye ni binadam tuache hizi mambo ata kama issue za kichama tusifike huku too much machozi hayaendi bure

Aloooh inatia hasira sanaaah

Pole sana

Moyo umenivunjika

Mungu amtie nguvu kwa kipindi hiki kigumu

Maumivu

