Loading video...
Video Failed to Load
Ramadhan Kareem
17,309 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Barikiwa sana KIONGOZI.

West Coast Delivered ☑️

Next time tugawe na ngano yetu ya Camel Flour @Rahim_Meghji utachukua order kwa Mwami 👊🏽

@Rahim_Meghji Zipo. Kesho in sha allah

Mavideo ya nini?

Safi sana

Unapotoa kwa mkono wa kulia hakikisha hata mkono wa kushoto usijue. Ni maamrisho ya mtume Muhammad SAW. Watu maarufu hapa wanashindwa kabisa.

Mungu akubariki

. wamefaulu wale waliofturisha wenzao na wamefaulu wale walio wapa chakula wenzio

Alhamdulillah!.Allah akulipe mbadala kwakua jambo hili la kutoa sadaka ndani ya mwezi huu mtukufu,IMEKUA NI KAWAIDA YAKO.Hongera sana!.

Japo ni out of mada , Anko ulitoa shule moja pale clouds fm kuhusu international relationships ( haswa maswala ya misaada kutoka nnje). Kama ikikufaaa tunaomba tupate shule hata kwa space hapa. Nawasilisha
Related Videos
Sensitive content
Ramadan Kareem.
Kande Gao
13,138 views • 1 year ago
Sensitive content
Salam Ramadhan
Pawang S00D🔗
31,664 views • 1 year ago
