Loading video...
Video Failed to Load
Redio gani hii?😂🫵🏾
33,108 views • 1 year ago •via X (Twitter)
10 Comments

pentium981 year ago
Hawa majamaa n hatar wanatangaza n kama comedy huyo ndo brown brown

SATIVA171 year ago
Ni noma😂😂🫵🏾🫵🏾

Democracy1 year ago
Anajaribu kumuiga Kitenge anajikuta anakuwa fala

Mchanyato%1 year ago
Inapatikana makambako jemedari wa katavi

SATIVA171 year ago
😂🫵🏾

Ze BUTCHER 🇹🇿🍁1 year ago
Kaka kuna agenda zina pushiwa Facebook huko kama kuna namna ya kudeal na hawa then do it

Ochu Mpwemuka1 year ago
Wazee wa Minyama wa Mkoani 🤣

Justin Packshal1 year ago
Hahahaha makambako moja io brown brown mc jongo

Salvatory Steven1 year ago
Daah Mtupumzisha sasa kwakweli

yuddah✌️1 year ago
Dah nimechek kinoma🤣🤣
