Loading video...

Video Failed to Load

Go Home

UJUMBE MUHIMU SANA HUU, USAMBAE.

16,161 views • 10 months ago •via X (Twitter)

13 Comments

𓏤𓏤𓇌 Daijō 𓀷𓋘𓋙𓁿𓂀 Daijin 🌌 𓁿𓋙's profile picture
𓏤𓏤𓇌 Daijō 𓀷𓋘𓋙𓁿𓂀 Daijin 🌌 𓁿𓋙10 months ago

kusema kweli hatuna katiba tuna mkatapa wakilaghai ulioandaliwa na nyerere kwa mikono yake

Gimmy's profile picture
Gimmy10 months ago

Hii ni shule mhimu sana ambayo kila raia anapaswa aelewe ni kwann tunadai katiba mpya.....kuna kitu inabidi kidhibitiwe kwa mstakabali wa taifa bora

One Shot Kill🎯's profile picture
One Shot Kill🎯10 months ago

Alietunga na kupitisha hii katiba nae anafungu lake la dhambi

Lumola Steven Kahumbi's profile picture
Lumola Steven Kahumbi10 months ago

The fact kwamba hii katiba mbovu ya 1977 aliiandika Nyerere na vibaraka wake. Mimi huwa sikubali kabisa Legacy ya Nyerere hakuwa mzalendo wa kweli alikuwa Janja Janja tu. Nikionaga mtu anam-praise Nyerere huwa namshangaa sana.

Albini Akonaay Saragu's profile picture
Albini Akonaay Saragu10 months ago

Rais wa nchi gani? Kama ni Tanzania, hakuna Rais wa Nchi. Tuna kibaka aliyejitangaza kuwa rais wa Tanzania wakati hapakuwa na uchaguzi.

Thadei Mhabuka's profile picture
Thadei Mhabuka10 months ago

Huu ni ukweli kabisa tatizo la haya yote ni katiba tuliyo nayo.

Ectory Komba's profile picture
Ectory Komba10 months ago

Hatari kabisa kabisa. Ndio maana wanawapumbaza wananchi kwa kuwaambia katiba ni kajitabu tu!

kajoka's profile picture
kajoka10 months ago

My country 🇹🇿💔😭

DaudiT's profile picture
DaudiT10 months ago

Ndio maana aliuwa watu bila wasiwasi na akawatukana watanganyika "mnaolalamika watoto wenu kuuliwa kwanini hamkuwazuia wasiandamane"

Charles5's profile picture
Charles510 months ago

Great presentation 👍🏼

Extreme Introvert🧕💫's profile picture
Extreme Introvert🧕💫10 months ago

Uwiiii🤦‍♀️😭🙌

Maro Mwikwabe's profile picture
Maro Mwikwabe10 months ago

Nyerere nyerere nyerere popote ulipo mola akupe adhabu yako

DANGER PLUG's profile picture
DANGER PLUG10 months ago

Food foundation inafanya kazi kwa tulio jiita upinzani kumbe tumeficha ulafi na usaliti

Related Videos