正在加载视频...

视频加载失败

Sikiliza madini hayo.

55,485 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

msngi. 的头像
msngi.1 年前

@mpambazi Wauaji wakubwa hao

RedDeer.Games 的头像
RedDeer.Games4 年前

[NINTENDO] Exclusive Now Available ➡️ #AAAclock ➡️ #SwitchOnline #SwitchOLED

Batholomeo Thomas🇷🇺🇨🇳🇰🇵🇮🇷⚔️🎖️ 的头像
Batholomeo Thomas🇷🇺🇨🇳🇰🇵🇮🇷⚔️🎖️1 年前

Hakika kuzungumza vizur san pesa ni hewa nikitu ambacho hakina thamani kweli ndio maana ukienda kukopa pesa Bank unapewa hewa ambazo ni pesa unaandika shamba au kiwanja au nyumba kam dhamana hicho kitu hai na kinapanda thamani kwa % kubwa san na pesa ni kitu kinachoshuk thmn hrk

Stonesyphon 的头像
Stonesyphon1 年前

Hawa wakishatoka madarakani ndio wanatueleza haya

msngi. 的头像
msngi.1 年前

USA🇺🇲 NI GAIDI NAMBA MOJA DUNIANI AKISHIRIKIANA NA ISRAHELL 🔥🇮🇱 Hata lile tukio la sep 9/11 Waliliunda kisha wakawasingizia waislam ndio wakaenda kuzivamia nchi za mashariki ya kati

Kiongozi Kenge wa Nje Ndani 的头像
Kiongozi Kenge wa Nje Ndani1 年前

Sentensi ya mwisho amejitambulisha kama Muhaya 😄

Ras,nchimbi 的头像
Ras,nchimbi1 年前

Porojo za uswahilini.

Sia Da Vinci💎 的头像
Sia Da Vinci💎1 年前

Hizi kwa ambaye shule hakwenda hawezi elewa.

EarthBoiZinhO 的头像
EarthBoiZinhO1 年前

watu muhimu tulionao nchini na wakujivunia🔥🔥🔥🔥

kenny 的头像
kenny1 年前

Ila vyombo vyetu vya habari bure kabisa vitu muhimu huyu mama kaongea hapo wao wamenakili sentensi ambayo haina context ya anachokisema ndo wameweka habari kichwa nan anawafunza hawa

Bin Kombo 的头像
Bin Kombo1 年前

Mtatuelewa tuuu Ubepari uliozaa mavi ya democracy ni ukoloni mambo leo Lol

相关视频

Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amesema Maafisa wa usalama kwa kushirikiana na Mamlaka nyingine za udhibiti wamefanikiwa kukamata madini ya almasi ghafi yaliyokuwa yanatoroshwa kinyume cha sheria na taratibu za usafirishaji wa madini kupitia Uwanja wa Ndege wa Mwanza ambapo madini hayo yana thamani ya zaidi ya Tsh. bilioni 1.700. Waziri Mavunde ameema hayo usiku wa kuamkia leo May 24,2025 wakati akiongea na Waandishi wa Habari Jijjni Mwanza “Napenda kuutarifu umma wa Watanzania kuwa, May 18, 2025 majira ya saa saba mchana, Maafisa wa usalama kwa kushirikiana na Mamlaka nyingine za udhibiti walifanikiwa kukamata madini ya almasi ghafi yaliyokuwa yanatoroshwa kinyume cha sheria na taratibu za usafirishaji wa Madini kupitia Uwanja wa Ndege wa Mwanza” “Katika tukio hilo, almasi ghafi yenye uzito wa karati 2,729.82 na thamani ya takriban USD 635,887.66 (sawa na Tsh. 1,715,434,129.67) yaligunduliwa yakiwa yamefichwa kwenye mabegi manne na Raia mmoja mwenye asili ya India kwa lengo la kuyasafirisha bila vibali halali wala kufuata taratibu za kisheria” “Wizara ya Madini imesikitishwa na kuchukizwa na jaribio hilo la utoroshaji wa rasilimali za Taifa, na inalaani vikali vitendo vya aina hiyo, ikumbukwe kuwa, utoroshaji wa madini ni kosa la jinai linaloikosesha nchi mapato na kudhoofisha maendeleo ya kijamii na kiuchumi kwa ujumla, hivyo naomba nitumie nafasi hii kuufahamisha Umma kuwa, uchunguzi wa kina unaendelea kufanyika ili kubaini waliohusika na mtandao huu ili kuwafikisha katika vyombo vya sheria kwa mujibu wa sheria za nchi yetu. “Niwahakikishie kuwa, Serikali haitasita kuchukua hatua kali dhidi ya wote watakaobainika kuhusika katika utoroshaji wa madini hayo ikiwa ni pamoja na kutaifisha madini hayo na kufuta leseni za kujishughulisha na shughuli za madini hapa nchini, Serikali haijalala na inaendelea kufanya oparesheni maalum usiku na mchana kubaini matukio yote ya aina hiyo nchi nzima ili kuendelea kulinda rasilimali madini yanayozalishwa nchini kwa manufaa ya Wananchi wa Tanzania na Taifa letu kwa ujumla” #MillardAyoUPDATES

millardayo

27,302 次观看 • 1 年前