正在加载视频...

视频加载失败

114,133 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

WHYMYCATISSAD 的头像
WHYMYCATISSAD1 年前

“Panya hawakai kwenye nyumba ambayo haina chakula”

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

space meets sound

Mukwala Steven Desse 的头像
Mukwala Steven Desse1 年前

Mtu yuleyule Nguo zilezile Misimamo miwili tofauti.. Njaa mbaya sana

Jon'de 的头像
Jon'de1 年前

Lema ulivyochagua upande wa TAL sikukuelew,lakin kw kadri siku zinavyozid naanza kuelew.!

Logic Analyst 的头像
Logic Analyst1 年前

Mikakati kwani huwa haifeli? Iki fel unakufa na tai Shingoni? Bora alie kosea jana akajirekebisha kuliko unae kosea leo wakati picha halisiunsiona.

NYALALI 的头像
NYALALI1 年前

Kigaila kawa na ndimi 2, kwa nyakati tofauti, kitu ambacho kabaki na msimamo nacho ni hiyo batiki (shirt)😀

Kevy 的头像
Kevy1 年前

Ukiwa muongo kumbukumbu muhimu

Muebrania 的头像
Muebrania1 年前

😂😂😂😂😂😂😂😂😂naionea huruma familia yake inakula kwa shida sana

Walter Mathayo 的头像
Walter Mathayo1 年前

@robichacha96 Matokeo ya haya yote ni Mwamba kutokukubali mabadiliko akalazimishwa sasa anapanga mashambulizi kutoka mbali ulafi wa madaraka

Amani Mlele 的头像
Amani Mlele1 年前

Tena hii ndio nguo yake ya kusemea uongo, takataka kweli hii.

相关视频