Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

SMART KEMBO apewe maua yake

216,707 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)

Комментарии: 10

Фото профиля Punjani
Punjani1 год назад

@MdemuPolycarp Hivi vitu tulifanya DIT miaka 10 nyuma kama projects

Фото профиля 𝔻𝕣. Pierre Binxete MSc 🩺🇹🇿
𝔻𝕣. Pierre Binxete MSc 🩺🇹🇿1 год назад

@MdemuPolycarp Hii sasa ndio ingetumika kwenye fuel stations ila ndio hivyo hawezi kuikubali.

Фото профиля Asat Ayo
Asat Ayo1 год назад

@MdemuPolycarp Sina maana ya kudiscourage ila this is something already done more than 10 years back. Hapa ni kukopy tuu

Фото профиля Donatha Msamba
Donatha Msamba1 год назад

@MdemuPolycarp Jamaaa anaetengeneza hizo mashine wapo pale mikocheni jengo la myfair plaza Kampuni ya raia kutoka Ukraine inaitwa infuzia huyo smartkembo kaitoa wapi

Фото профиля Marc
Marc1 год назад

@MdemuPolycarp Huyu mwamba ametusha sana aisee

Фото профиля Papaachilu
Papaachilu1 год назад

@MdemuPolycarp Hii Iko mtaani watu wanaweka mia tano wanachota maji haukuti mtu pale ni kuweka Hela maji yanatokea then unaondoka. Kigamboni ipo

Фото профиля Livingstone
Livingstone1 год назад

@MdemuPolycarp Nzuri,

Фото профиля Richard Marwa
Richard Marwa1 год назад

@MdemuPolycarp Hizi technology zinauzwa Ali express Bei chee tu ni kuwa na knowledge ndogo tu jinsi ya kuziunganisha yaani simple tu

Фото профиля Chelsea
Chelsea1 год назад

@MdemuPolycarp Kibongo hawezi enda popote maana akuna viongoz wazalendo kukuza maarifa ayo. Zaid wafanya biashara watagiza machine toka china kazi zake ziende

Фото профиля bulicheka
bulicheka1 год назад

@MdemuPolycarp Alichofanya jamaa ni kufumua slot machine na kutuonesha mfumo wake wa nyaya, actually hizi zipo mitaani zinauza maji unanunua tu kwa mchina, Marekani zipo karibia nusu karne nyuma huko

Похожие видео