Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Spana saizi ngapi!??
28,183 görüntüleme • 11 ay önce •via X (Twitter)
10 Yorum

Sema Mwami ni TAPELI sanaaaa 😁

Tumeshajua huwa wanayazungumza haya KUONGEZA DAU. Lissu ametufumbua mengi sana

Uhusiano wa @ccm_tanzania @ACTwazalendo na @ChaummaT kwa sasa.

𝚂𝚙𝚊𝚗𝚊 𝙼𝙰𝙻𝙰𝚈𝙰 𝚜𝚑𝚊𝚗𝚐𝚊𝚣𝚒 𝚖𝚊𝚗𝚊 𝚒𝚗𝚊𝚏𝚊𝚗𝚢𝚊𝚔𝚊𝚣𝚒 𝚔𝚒𝚕𝚊 𝚔𝚘𝚗𝚊 #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection #NoReformsNoElection

Huyu muongo anataka wamsindikizie Ubunge na ili amateur ni kufanya kazi ya kuwahadaa raia na kuwashambulia CDM. Akumbuke avyoenda Buzwagi ndipo alipomaliza upinzani wa kweli.

Narudia tena na #Tena Uyu ni #Dalali @ayo_shangwe 👇

..hiyo ni SPANA MALAYA‼️...

Ukisikia mbwa ameyarudia matapiko yake mwenyewe na nguruwe aliyeoshwa amerudi kugaa-gaa matopeni ndiko huku... 2 PETRO 2:22

Za ndani kabisa nikwamba Zitto kwakuwa Maccm yanamtumia kuhalalisha dhulma atapewa Jimbo la Kigoma Mjini ionekane ameshinda ili kuwahadaa Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa kwamba kulikuwa na Uchaguzi huru na wa haki

Kibwetere na wafuasi wake!

