正在加载视频...
视频加载失败
Tajiri hatuna Wallah.
19,361 次观看 • 2 个月前 •via X (Twitter)
24 条评论

Tatizo sio la simba . Tatizo ni la mchezaji. Na hiyo chuki aliyoijenga usishangae akamaliza msimu kacheza mechi tatu tuu

Niliwaambia mna Dalali , hamkutaka kuelewa. Bora ngungu boy hakuongea

Pesa Iko Bank lakini Tajiri kaweka fixed Account 🤣

😂😂 tajiri mnae sema tajiri wenu fedha ipo Bank

Fanyeni kazi na ninyi muwe matajiri

Tajiri takataka tupu

Hhahh😂

Hatuna tajir ela ziko benki tajir gani uyo

Hela zipo bank

Huyu nae mchezajinwa kuanza kusumbua tajiri kweli?

Tajiri anasema hela iko bank🤣🤣👋

😀😀😀😀😀 Mhindi ndio Tatizo la simba watu watakuja kushtuka tumeumia sana

Tajir hauna mbona nyie mliwapola Kagoma?

Mchezaji halali wa SIMBA SPORTS haya sele

atuh na tajir apo

@SimbaSCTanzania Wana Usenge usenge sana Amna tajiri wala nini

Si alishasema pesa ipo bank😁

Imekula kwako

Pesa zake ni kwa ajili ya bank

Mo sele😂😂…

Muna nani sasa

Pesa iko bank😀

Nime lia sana

Simba haitembei na dollar kwenye dashboard ya Range Rover sawa dada..Simba Ina pambana kufanya KAZI PROFESSIONALLY lakin jamii inaaminishwa SHORTCUT za kihuni ni UJANJA..
