Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Tajiri anaingia! 😂😂😂
60,116 просмотров • 3 лет назад •via X (Twitter)
Комментарии: 10

"Wanangu niliwaambia wasome ila wakachagua bangi Leo wangekua kama huyu😡😡" 😂😂

@TbagMnyama4_ 😁😁

"Huyu mjinga Jana tu aliniambia hana pesa nisubiri mwisho wa mwezi anilipe😡😡"

This Man! 😂

Yule mzee haamini nini maana hadi mdomo kashindwa kufunga😂😂

Yaani kaasama through out 😂😂

Huyu ni baba wa muoaji nn? Mbona anashangaa sana 😂😂

Huyo mzee mwenye dark blue anayeshangaa usikute anamdai uncle halafu anamchezesha sound za kutosha......Leo anamuona anahonga harusini 🤣

Bibi atakua anajiuliza mbona hii hela hawaniletei Kijijini 😂😂😂😂😂😂

Wkt nipo field nikapewa kadi ya kuudhuria harusi moja hivi...Tungi likakolea nakijituka natunza tu hela kwa maharusi...Asubuhi kujisachi kumbe nilitunza hela ya ada na chuo tunafungua muda si mrefu...😥😥😥
