正在加载视频...

视频加载失败

Msikilize Masoud kwa umakini sana!!!!!

87,945 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

10 条评论

Presenter Noah 的头像
Presenter Noah1 年前

logic zimejaa humo, na kila swali linazaa swali

WORDS OF WISDOM 的头像
WORDS OF WISDOM1 年前

Kiukweli ukiangalia wanachadema sio watu wa vurugu kama tunavyoaminishwa. Ni wapenda amani na wanapenda sana kusimama katika sheria. Huwa nashangaa sana nguvu inayotumika kuwadhibiti. Haihitaji degree au phd kujua kwamba mifumo ya kiutawala imekuwa corrupted

Salmin Mkanya 的头像
Salmin Mkanya1 年前

Hapa ukitiza unaona pia kuna vitu wanataka kuongea lkn uhuru huo wakuviongea unakosekana

London Town🏆 的头像
London Town🏆1 年前

Masoud ni genious brother respect kwake anakupiga spana af anakutoa na akili kabisa

Salum A.K 的头像
Salum A.K1 年前

Wazeee wa minyama wakijadili iv labda wapewe mrungula 😂

KaruA Majani 的头像
KaruA Majani1 年前

Hakuna kuhujumu serikali wala ccm, hapo ni wapumbavu wachache wanatafuta vyeo/madaraka kwa kutumia umbumbumbu wa polisi.

Joe Madiba 的头像
Joe Madiba1 年前

Hivi nyie mnadhani polisi bila kuonyesha wanafanya kazi watapata wapi budget ya kula? Kwa taarifa yenu cku ya jana tu zaidi ya million 200 zinatengwa kuzuia tukio. Kwa hio ni ulaji. Na kwenye vikao vya usalama wanaonyesha kabisa kuna risk kubwa ili pia budget itoke nzuri.

_carlitographer 的头像
_carlitographer1 年前

Hii nchi kaka jau Sanaa mavi matupu wanatupandikizia chuki tukose uzalendo 😠😡

Joseph Lawrence 的头像
Joseph Lawrence1 年前

Huu ukweli utabaki kuwa hivi. Chadema wamesikiliza kesi ya mbowe na hapakuwa na shida yeyote. Jana hadi mauaji.

Imma Obeid 的头像
Imma Obeid1 年前

Ninaamini wenye busara waliopo ndani ya chama tawala, wanashangaa sana kwa yaliotokea jana. Hata polisi wenyewe watakuwa wanashangaa sana nguvu walioitumia. Kazi ya Polisi ni NGUMU SANA!!

相关视频

Msikilizeni Kwa Umakini PADRI KITIMA🔥🔥
3:16

Sensitive content

Msikilizeni Kwa Umakini PADRI KITIMA🔥🔥

KIDUKU

70,317 次观看 • 1 年前