正在加载视频...
视频加载失败
Tujikumbushe kidogo.😂😂😂😂
15,346 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)
11 条评论

Tuwekee apa na ile clip Mh.Lissu akisema kua mbowe alieingia gerezani sio mbowe alietoka gerezani

Let post siasa za maendeleo bhana tuachane na kina mbowe nawengine ebu tuishi maisha kama hatukuamao kwenye chama , unajua kua kimya sio ujinga Bali nikutunza heshima Leta hoja za msingi Ili tuone namna Gani tunalikomboa taifa , Hilda my sister it's enough

Kweli kila kitu kipo nyuma Ukweli upo hadi sasa

Unajua Kuna wakati baadhi ya viongozi wa CDM mmekua mnafanya gossiping ni nyingi sana kuliko kusima kuelimisha umma , basi sisi wafasi wenu mtaka tusimame wapi , kunawakti mnakela bhana , tunataka kuona chama kina ifikia ajenda yake kwanamna Gani ,

Mmh🚮

Hilda my sister niandika kwa masikitiko makubwa sana coz nataka kuona una badilika coz hakuna siku na pita kwenye page nisikute gossiping , Mimi kama mtanzania nataka kuona ukielimisha jamini Ili spirit ya ukombo iingie kwenye mioyo ya wengi I hope umenielewa

Kwisha kabsa ukweli hazalani

Bwege ana uono mpana mnoo! Hii tui bookmark mana soon inatokea,

Kuna wajinga wanakwambia tusiseme tukamaliza. Sasa sijui hawakumskiliza Mh. Bwege? 😂😂😂

😆😆😆

Mmmh😃😃😃😃
相关视频
Sensitive content
😂😂 Jamaa kidoogo Kidogo anakaribia Kuacha kuyachezea Maziwa ya Maza saivi kidogo kidogo anazigusa Balls za Mshua 😂
Myunani
63,233 次观看 • 1 个月前
Sensitive content
Tujikumbushe kidogo!!
Jebra Kambole
75,348 次观看 • 1 年前
