Sensitive content
This media may contain sensitive content.
Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Tujikumbushe kidogo Penzi la manara
68,511 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
17 Kommentare

Huyu demu sjui ni nani ila kwa macho ya kikachero unaona kabisa ni MWIZI na TAPELI WA MAPENZI

take the journey

Manara anaogelea na miwani 😂😂😂😂

Wanasema makafiri ni ngumu kufunga ndoa!!Sasa hizi za Manara ni ndoa au ushetani?

Uyu jamaa akioa tena itabid ndoa yake ipew odds Over 3 months 1.828 Over 6 months 2.123 Over 9 months 2.479 1 year 3.0 1.5 years 3. 1946 2 years 4.3446 5 years 100.0

Vinamudaaa????

Unamtoa demu kwa vijana wa mjini kiache kukulamba.

Kwani haya makaburi huwa mnahifadhi wap

Watazifuta au

Nitafute cheupe nikaishi lif🤣

mbn km ZL alikuwa anajforce hapo 😂

Kikowap?

Huyu demu tola Zaman anaonyesha kabisa hakuwa na hisia na Jamaal ni njaa tu zilimpeleka kwa Jamaal hata jinsi huwa anamwangalia Jamaa utagundua hkuwa happy

We nae kama wa kike tuu, umbea

Tatizo hata body language hamuisomi huyo wa buku bee kilicho mponza maslai Kwa kibabu icho kilemavu??? Ucccnpange!!!

😁

Sema 😹😹
Ähnliche Videos
Sensitive content
Tujikumbushe kidogo!!
Jebra Kambole
75,260 Aufrufe • vor 1 Jahr
