Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
Tujikumbushe kidogo!
60,433 Aufrufe • vor 1 Jahr •via X (Twitter)
11 Kommentare

ZZK & co watabaki kuwa WAHAINI Tu 😂

take the journey

Majibu yapo hapo 👇

Kaka @MsigwaPeter kama kuna mahali nimewahi kukutukana kwa kutoka kwako chadema nisamehe bro

Wote nyie wanafiki tu sio CCM Wala CHADEMA Wala takataka yoyote ya wanasiasa wote mnatuona raia kama ng'ombe tu

Nataka ile voice note akisema hii ni vita an Zitto asurubiwe asisamehewe @MsigwaPeter. Kama unayo iweke mchungaji

Huyu @zittokabwe alikuwaga wa moto sana...huyu jamaa tulimpoteza sana ...huyu ilibidi at some point awe mwenyekiti wa chama...na mkuu wa kambi ya upinzani hapa katikati..mapenzi na makada ya CCM yalimzidi

Basi unaona unapiga Kazi sana mwamba! You quit discussions on issues now you discuss people

Chadema ni chama cha watu wa kaskazini. huo ndio ukweli?

● Ila Msigwa kwenye maisha isikimbie TATIZO bali kabiliana nalo, sasa wewe ndugu ukaamua kutimua vumbi, 😂🤣😂😂😂 vip sasa uliko fika kuna nafasi kama ya huku?

Tatizo nyie hamkuaminika.. ndo maana waliwasoma mda hivo mngekuwa wenyeviti mngeuza chama nyie.. kama misukosuko kidogo mnapesuka itakuwa changamoto za uenyekiti.. Msigwa unatamaaa hata sura yako inaonekana
Ähnliche Videos
Tujikumbushe kidogo ilivyokuwa wakati wa KAMPENI hapo 👇 😂😂😂
Peter Madeleka
44,415 Aufrufe • vor 1 Jahr
