Video wird geladen...

Video konnte nicht geladen werden

Zur Startseite

Tunaanza sisi wengine wanafata. ๐Ÿ”ฅ SIMBA DAY ๐Ÿ”ฅ #NguvuMoja

24,482 Aufrufe โ€ข vor 1 Monat โ€ขvia X (Twitter)

14 Kommentare

Profilbild von Akinyi๐Ÿงบ
Akinyi๐Ÿงบvor 1 Monat

Kuelekea tarehe 12 Nina wasiwasi. Mchawi wetu huyu hapa. 1.Utengenezaji wa nafasi ni mfinyu. 2.kupoteza umakini wanapokaba. 3.Bado back pass nyingi zipo sanaaaaa sijui kwanini haziishi au kupungua 4. Mipira ya kona hasa kross hakuna muunganiko

Profilbild von Babu Gโนโถ
Babu Gโนโถvor 1 Monat

Na kwenye ubingwa muwe mnaanza sawa

Profilbild von Akinyi๐Ÿงบ
Akinyi๐Ÿงบvor 1 Monat

Aliyebuni rangi za timu ya simba, alale pema peponi. Rangi nzuri zenye mvuto huku naona maua ya mboga mboga.

Profilbild von Democracy
Democracyvor 1 Monat

Haiondoi ukweli kwamba mmefungwa mbwa nyie

Profilbild von Silver Fololo
Silver Fololovor 1 Monat

Alafu mnagongwa

Profilbild von #kazinabata
#kazinabatavor 1 Monat

Naaaam ๐Ÿธ

Profilbild von Bull
Bullvor 1 Monat

Hela iko bank

Profilbild von Benie
Benievor 1 Monat

Kwa huu usajiri wa Ngungu boy, hatutoboi Labda hela iliyopo Benki itoke๐Ÿค—

Profilbild von yusuf Ulaya๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
yusuf Ulaya๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟvor 1 Monat

Ni kweli makolo si ndio mmeanza kufungwa na wageni. Na hao wengine watafungwa pia.

Profilbild von Nyamweru Kiza
Nyamweru Kizavor 1 Monat

Kila mmoja ajivunie chake.

Profilbild von ๐—ก๐—š๐—จ๐—–๐—›๐—œ๐—ฅ๐—ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
๐—ก๐—š๐—จ๐—–๐—›๐—œ๐—ฅ๐—ข๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟvor 1 Monat

๐Ÿฆ

Profilbild von Nyegere
Nyegerevor 1 Monat

Kwenye nini we-kundu?

Profilbild von 5070
5070vor 1 Monat

Kufungwa au?

Profilbild von Milan, Kefa.
Milan, Kefa.vor 1 Monat

mnaanza kufungwa

ร„hnliche Videos