Загрузка видео...

Не удалось загрузить видео

На главную

Tundu Lissu mda huu Morogoro mjini.

15,002 просмотров • 3 лет назад •via X (Twitter)

Комментарии: 8

Фото профиля Mnada Nchege
Mnada Nchege3 лет назад

Sasa ni muda wa kuihubir katiba mpya kila Kona na kila pembe ya Tanzania watanzania watambue na wajue umuhimu maana Kuna majoka yanayonufaika na hii iliyopo yanatuponza kufanikisha hili suala

Фото профиля Uhuru Mapinduzi
Uhuru Mapinduzi3 лет назад

CHADEMA INA HADHINA YA VICHWA VYENYE NIDHAMU YA UONGOZI.

Фото профиля Siyaga Enock Jr
Siyaga Enock Jr3 лет назад

@SuphianJuma njoo usikilize hoja konki huku

Фото профиля Tissaphernes
Tissaphernes3 лет назад

Watanzania wana IMANI sana nanyi Rekebisheni vigezo vya mtu kuomba kuchaguliwa. Kigezo kisiwe kukubalika pekee Wateuliwa wa Chadema wengi waliondolewa kwa makosa madogo madogo ambayo huepukika

Фото профиля George
George3 лет назад

✌️✌️ people's.....

Фото профиля Immanuel David Urio
Immanuel David Urio3 лет назад

Kuna polisi mmoja wa kike hapo!! Nahisi analinda raia

Фото профиля Daima Mbele, nyuma mwiko
Daima Mbele, nyuma mwiko3 лет назад

Ametema madini, pmoja na mechi y nusu fainali ya Simba, nyomi kaipata

Фото профиля Bernard
Bernard3 лет назад

Hivi CCM mnaijua katika swala zima la madaraka,Ukweli ni kwamba Samia mbele ya CCM Kama chama hawezi kwenda tofauti nacho kwani naye ni damu ileile japo angeweza kutumia Mamlaka ya Rais Kama ana mapenzi mema na katiba Mpya na bora ingepatikana Ila hawezi kea Vinasaba vyake CCM

Похожие видео