9 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@HilaryScanner
Wapunguze maelezo, waje wawachukue watu wao
2 likes

@HemedJamsheed
Haswaa! Mfano sahihi Sana. Mauaji hayawezi kuitwa mambo yetu ya ndani. Lazima serikali hii iwajibishwe kwa mauaji ya raia waliowaua bila hatia.
2 likes

@RashidMugheiry
Mnajifariji tu na kudanganya wafuasi wenu hamna jipya
2 likes

@pallangyo1738
NJAA

@UlimwenguN74598
Mbona wanachelewa sana????

@Homo_mensura
Hakika

@MaureenC2025
TUKAZIENI hapahapa wananchi wenzangu #sautizaummazitashinda #sautizaummaziheshimiwe

@AbdulKiula
Ndiyo mmeshashinda, mshinde mara ngapi?

@pius_kashinje
Jinai haifi
