正在加载视频...

视频加载失败

Ukweli lazima usemwe

29,913 次观看 • 2 年前 •via X (Twitter)

21 条评论

papatu papatu 的头像
papatu papatu2 年前

@Mzungu_pori1 Kwenye nyeupe ni nyeupe na nyeusi ni nyeusi. Oscar oscar yupo vizuri sana🤝.

Solar Heavy 的头像
Solar Heavy1 年前

- All I Knew

CHILLEH MR SHITCOIN 的头像
CHILLEH MR SHITCOIN2 年前

Shida Bumunda zinaaminisha watu Kuwa kufanya Maandamano ni Kama Kuleta Vurugu Kuwa Watu wataumia,sijui Kuvunjwa Huwa najiuliza Hizo Kauli ni za Nini Kama Maandamano ni Ya Amani na vyombo vya Usalama inatakiwa Vitoe Kabisa Na Ulinzi..?🤔 Sisi Bongo Buana Basi tu.! 𝐊𝐚𝐦𝐚 𝐔𝐧𝐚 𝐍𝐝𝐨𝐭𝐨 𝐘𝐚 𝐊𝐮𝐰𝐚 𝐓𝐚𝐣𝐢𝐫𝐢 𝐍𝐚 𝐇𝐮𝐣𝐮𝐢 𝐔𝐚𝐧𝐳𝐢𝐞 𝐖𝐚𝐩𝐢... 𝑩𝒂𝒔𝒊 𝑯𝒊𝒊 𝑪𝒐𝒖𝒓𝒔𝒆 𝑺𝒊𝒚𝒐 𝒚𝒂 𝑲𝒖𝒌𝒐𝒔𝒂😊 Najua unajiuliza Kwa Nini nasema hivi... Nasema hivi Kwa sababu Biashara ya SHITCOIN 1. Haihitaji Mtaji Mkubwa. 2. Inaleta Faida kubwa ndani ya Muda Mfupi. Wakati wako ni Sasa! Jiunge na Course ya SHITCOIN upate Maokoto ya Mara Kwa Mara Yatakayokusaidia Utimize Ndoto zako.. Kwa Maelezo Zaidi wasiliana Mrshitcointz Whatsapp #shitcoincanchangeyourlife

SALLY ONLINE TV 的头像
SALLY ONLINE TV2 年前

Wasomi wasioendeshwa na njaa🙌🏾🔥

Red Through Throuugh/Electrical Engineer 的头像
Red Through Throuugh/Electrical Engineer2 年前

We still have people who are reel educated

Benson Lucas 的头像
Benson Lucas2 年前

Mwambukusi @HildaNewton21 please 24 muwepo mstari wa mbele kututia moyo mié nitkuwa ghorofani somewhere nikichukua matukio yanayojiri kwa kumbukumbu za baadaye

jose junior 的头像
jose junior2 年前

Hahahaha mnamkumbuka Hando pale EFM ama mmesahau

Barozi wa MTAA 的头像
Barozi wa MTAA2 年前

Huyu ataondolewa wasafi muda sio mrefu akiendelea kuwa hivi maana boss wake ni ccm kindakindaki

Milestone~Otana🇹🇿 的头像
Milestone~Otana🇹🇿2 年前

Waandishi wengine wenye ubongo uliojaa funza kama wa Nape na Chalamila hawawezi kuongea ukweli kama huu. Oscar yuko smart kiakili mdio maana hapendi kupindisha ukweli

mbuzi 的头像
mbuzi2 年前

Kaka bangi huyu

Luis Maziku 的头像
Luis Maziku2 年前

Kuna muda usipo piga bobumaley ubogounatulia sana😂😂

LC 的头像
LC2 年前

@mzeewakaliua ni genius

AveMaria 的头像
AveMaria2 年前

diritti e responsabilità…@HildaNewton21

Waufufuo 的头像
Waufufuo2 年前

Kaliuwa

Abuu Ilomo 的头像
Abuu Ilomo2 年前

Ni sahihi

Free Movies Delivery 的头像
Free Movies Delivery2 年前

Safi🔥

Frank Amos 的头像
Frank Amos2 年前

Yasije yakamkuta kama ya yule mwenzake aliyehamia wasafi

YUSUFU ESTON 的头像
YUSUFU ESTON2 年前

Ukosahihi kabisa,waandishi wa aina yako ndio wanatakiwa

Peterson Elias Msumari 的头像
Peterson Elias Msumari2 年前

Ukweli halisi. Maandamano ni ya Chadema na sio ya vyama vya siasa . Ikiwa hupendezwi tuwaachie wao maandamano yao

JANJA LA TAIFA 的头像
JANJA LA TAIFA2 年前

Ni sahihi kabisa ✌️✌️✌️

Magari Sokoni 的头像
Magari Sokoni2 年前

Toyota IST Cc 1290 Mwaka 2005 Bei 14.5million` CKIGZ 0713806118

相关视频