Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Ulikuwa wapi? 😅
13,136 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
31 Yorum

Na hili je

🤣🤣🙌🏾 muda unakimbia, tupige na hatua nyingine sasa

Mzee mwenzangu @ImMichael_K kipindi hicho tunatumia computer kucheza gemu badala ya kujifunza blogging

Dah kmmke kitambo sana aisee 🥲 @Lufunavillage @Abdulrazack972

Mwanza sec F1 😀😀

Ukituma pesa kwa njia ya Mixx by Yass inaandika YAS/ZANTEL Hiki ni nini

Tigo na Zantel waliungana na kuwa kampuni moja

Owk shukrani

Daah 😂

Tumeibiwa vya kutosha, safari hii hatukai kimya – linda kura yako mpaka mwisho 😁 ACT WAZALENDO 💪

Nilikuwa mwaka wa 4 🫵🫵🫵

Zamani mtaani tangazo lilikua linaimbwa na linaheat kama nyimbo.

Chuoni mwaka wa kwanza😁😁

Daaaah😂😂

Mabibo mwisho

Bonge la tangazo

Full viswaswadu 🤣🤣🤣

Shule ya msingii

Nilikua nalipenda Sana hili tangazo

@usukwa950 Kura ni silaha ya mabadiliko – tusikubali kuipoteza kwa kususia 😁 ACT WAZALENDO 💪

Form one

Nimelia sana kuona nimezeeka

Kabla wa watoto wa 2000 hawajaruhusiwa kutoka nje

Oktoba 29 Lindakura Mhuni HASUSIWI

Layne drilling ..morogoro

Kipindi hiko watu wa kimara hampitii madirishani 😃

Dah kmmmk nimejicheka mwenyewe tena vibaya mnoo dah umri haudanganyi nimekuwa kibabu cha miaka 31 natamani kurudi kuleeeeeeee 😀😀😀

Nipo zangu kitaa baada ya kumaliza shule

@usukwa950 Wanaopanga kutuibia kura wasikute tuko usingizini – Oktoba tupo macho! 😁 ACT WAZALENDO 💪

Waah😂😂😂 nishapata anko status already

Kama sio form two hii sijui mana si ndo Moyo Wangu ya Diamond ilikuwa inatoka?

