Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Umegundua nini hapo ..!!👇
87,114 görüntüleme • 1 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

SimbaScot1 yıl önce
Wakati sisi wachezaji wetu wako busy na mazoez na Kufunga magoal wao wako busy kukariri miziki

The champ👑1 yıl önce
Hiyo kidevu alipofikia ananyoa kwa chainsaw🙌

mkapa1 yıl önce
Nmegundua wewe ni msenge msenge uafatilia wanaume wenzio

Kessy Lule1 yıl önce
Nilichogundua mzize kajiongezea Umri ila bado ni Under 18.

Fadhili Kandila1 yıl önce
Mbona kama wa kike we jamaa unaanza kuwakagua wanaume wenzio why ugundie nn

Mwakasitu1 yıl önce
U20 wetu kidevu kimekomaa balaa😂😂😂

MAKITABA🔛1 yıl önce
kamiss ulanzi

Dibu Budi1 yıl önce
Ukiachilia mbali kuachwa pia anatumia mda wake mwingi kusikiliza nyimbo za mapenz

Gem💎1 yıl önce
Under 20

12 Monkeys1 yıl önce
Wachezaji wa kikongo wanatuharibiwa wachezaji wetu kuwafundisha mikorogo
