Loading video...
Video Failed to Load
Umegundua nini ??
99,486 views • 1 year ago •via X (Twitter)
10 Comments

@privaldinho @FKihamu @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz UTI kali Sana inapelekea maumivu ya kiuno na kichwa kuuma.

@privaldinho @FKihamu @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz 🤣🤣

@privaldinho @FKihamu @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz Ni kawaida kwa mchezaji misuli kukaza na ndo mana wanakuwa na therapy ya kukaa kwenye maji yenye barafu… Na ndo mana baada ya mechi huwa wanafanya mazoezi mepesi kurudisha utimamu wa mwili.

@privaldinho @FKihamu @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz Hamisa mObeto kazana huyu mtu awe anatembea hivo hivo

@privaldinho @FKihamu @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz Aziz ki ana uti sugu mpaka maungo yanamuuma

@privaldinho @FKihamu @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz Yutiai sugu kiuno

@privaldinho @FKihamu @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz Uchovu wa safari ila dada yetu atalishughulikia jamb dogo san

@privaldinho @FKihamu @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz Endeleeni kugundua 08.03 sio mbali

@privaldinho @FKihamu @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz nimegundua range lake lina shida kwenye mfumo wa umeme mana vitasa havijirudishu ndani.. vinakaa vimetokeza nje..

@privaldinho @FKihamu @shaffihdauda1 @SportsarenatzTz Na bado, ndio kwanza ndoa changa atatembelea mkongoja

