Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Umegundua nini hapo ..!!👇
86,308 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 11

hustler1 год назад
Kuangalia mpira wa Tanzania ni kupoteza muda angalia kipa alichokifanya

Classic Cars1 год назад
Simba Bingwa Caf Confederation Cup 2025 🏆

Solar Heavy1 год назад
take the journey

Pisikali bongo1 год назад
nifolo nikufolo pia

masoud_alshuary1 год назад
Kila mtu atachanganyikiwa kwa wakati wake, Kipa nae amechangnyikiwa na hizo pasi msimlaumu

Yoel1 год назад
Isingekuwa goli ingewekwa penati

Mbwa kichaa official1 год назад
sasa kama kipa nae kachanganyikiwa na izo pass afanyeje😂😂

Ahmet Deniz 🇹🇷1 год назад
Kipa kaacha kabisa mpira uende nyavun

Ahmet Deniz 🇹🇷1 год назад
Bahasha kwa kipa

Merg1 год назад
Simba ni INTERNATIONAL NASEMAJE THIS IS AN INTERNATIONAL TEAM...WRONG PLACE AT THE RIGHT TIME KUDADEKI

🅱️🅰️🅱️🅰️ G🦁1 год назад
Sasa kwann kipa amelala
