Loading video...
Video Failed to Load
Umejifunza nini Hapa ?๐๐ฟ
29 Comments

Sio wimbo wa kwanza,, wimbo wake wa kwanza unaitwa JISACHI

take the journey

Alikuwa anastahili kuudhuria kipindi cha hawavumi lakini wamo๐ฌ๐ด๐ฟ

Hela za mashariti ya ushoga

Hapa alikua najaribu ku mcopy blue

Watu wanatoka mbali sana never give up

Hakuna kukata tamaa

Kutokukata tamaa ,juhudi,nidhamu na maombi ni njia bora ya mafanikio

Tukaze kaka,kama ipo ipo,one day yes..

Maisha bila uchawi hutoboi

Bila kuchoka Kupambana kaka mkubwa

@grok Huyu Mzungu kwenye hii picha Ni Nani? Ana cheo gani katika jamii? Anaishi wapi? Na wanafanya nini?

Acha mwamba @diamondplatnumz awakanyage aisee mshikaji kahustle sana alafu jinga moja limelegeza mapaja huko eti linataka kodi ya lazima. Alafu unakuta jinga moja linasema sijui freemason sijui uchawi, PUMBAVU kama kuwa freemason ni rahisi nawewe kuwa upate pesa.

nimejifunza kupambana bila kuchoka

Slow slow but sure hakuna kukata tamaa

huu ndio wimbo wa kwanza wa diamond

Maisha ni safari ndefu haitakiwi kukata tamaa

Ukidikis kubana pua ndio uku sass

Maisha ni atua kufika lazima uanze

Fight, fight, fight ๐ช

Daaaah watu wanatoka mbali Sana kaka

Nyimbo kali

Ila jamaa katoka mbali, Usikubali mtu kukurufisha Ulipo toka

Maisha yanatuitaji uvumilivu wa hali ya juu sana

๐ ๐คฃ ๐ ๐ hii ndio never give up

๐๐๐๐๐

never give up

Hapo alikuwa anajitafuta tu

Maisha ni safari ndefu sana
