Loading video...
Video Failed to Load
Umejifunza nini?
41,730 views • 1 year ago •via X (Twitter)
11 Comments

Afya Yangu 💊1 year ago
No matter how much you're tired, never give up be strong there's a great light ahead on you

Solar Heavy1 year ago
you a fan of space music?

𝕱𝖆𝖉𝖍𝖞 𝕸𝖙𝖆𝖓𝖌𝖆1 year ago
Najifunza kuwa mtu akiwa anasinzia mpige picha.

◇1 year ago
Watoto wasiamshwe mapema (Saa 10 alfajiri) kupanda school bus

Lucas E. Malembo1 year ago
Ohoo!

MWAGITO1 year ago
Nimejifunza kuwa kumbe kuchonga penseli mbele na nyuma sio matusi 🫵🏾😂

HOLIDAY TRIPS TANZANIA1 year ago
Mtoto ana miaka mi tatu/minne anaishi salasala, anaamshwa saa kuminamoja kamili ili apande schoolbus anaenda shule Tusiime, au Fountain (mfano) tabata, na anarudi saa kuminamoja jioni. BIG NO. Tuna tesa watoto.

Paul meda1 year ago
wachina hulala almost 30-60mnts ili ubongo uchanganye ni vyema kuchill

Lucas E. Malembo1 year ago
Ohoo!

Virgin Brain⚡1 year ago
Ntakujibu kesho baada ya kupata ugali na @MalemboLE kaka

Lucas E. Malembo1 year ago
😁😁😁😁😁
