Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
Unakumbuka ulikuwa wapi??
49,511 görüntüleme • 2 yıl önce •via X (Twitter)
10 Yorum

𝐏𝐞𝐚𝐜𝐞.WEB2 yıl önce
The Voice waliupiga mwingi sana sauti zimenyooka hatari

El~Campeón2 yıl önce
Tunazeeka aisee

WHYMYCATISSAD2 yıl önce
Mno😅

Jogoo2 yıl önce
Zamani walikua wanawekeza katika matangazo. Siku ubunifu zero kabisa. Chupli chupli nyingi tu

Nurdin Abas2 yıl önce
Alooo kitambo shule ya msingi

HJ🔥🔥2 yıl önce
Kuna lile kuna kajamaa fulani hivi kana manywele marefu kanaingia mlango A wa gari kanatokea mlango B 😂😂 😂

INTARAZA MUNYO😎2 yıl önce
@BakizaHamiss naomba Hii 😂

Kiago_Store2 yıl önce
Alooooh sio poah kitambo sana since primary uko 😅😅😅

Chelsea_the_blues2 yıl önce
One of the best tangazo

Minja Jr2 yıl önce
Kitambo

