Video yükleniyor...
Video Yüklenemedi
UVCCM AMKENIII
12,973 görüntüleme • 26 gün önce •via X (Twitter)
7 Yorum

ULIZA MDUDESOKA26 gün önce
@kilepi_tweve MAFISADI ni watu wavmbaya sana. Pesa ya dawa za wagonjwa mahospitalini wanajimilikusha na kuwekeza mafremu. Watu wanakufa kwa kukosa dawa. Hi nchi tukiikombowa kuna watu lazima WANYONGWE kwa MKAPA au JANGWANI.

Nasra25 gün önce
HIZI FREM ZITARUDI TUU KWA WANANCHI YAAANI WATU WANAJISOMBEA TUU KODI ZETU NAKUJIFANYA ZAO MBWA HAWA TUNARUDI TENA ROAD

Official Njuga🇹🇿25 gün önce
Maflem nilidhan Magorofa.

Anajua Mwenyewe26 gün önce
HIZI WATU WAKAE NAZO MBALI TUTAZIWASHA SIKU MOJA

Abbas Sabuni25 gün önce
UMEKOSA HOJA HADI UMEKUWA KIHOJA.

AB ---JB26 gün önce
Eneo La Serikali Au Alinunua?

Rashid Al mugheiry26 gün önce
Mnakaa mnamuamini huyu
