Video wird geladen...
Video konnte nicht geladen werden
UVCCM amkeniiiii,
129,877 Aufrufe โข vor 2 Tagen โขvia X (Twitter)
29 Kommentare

Aiseh bonge moja la hoja hii kama ni UVCCM jaribu kuweka chuki pembeni sikiliza alafu tafakari haki hii speach ya huyu dada ina hoja nzito saana

Hakuna watu wapumbavu kwenye hii nchi kama hao vijana, yani wanavaa vibuti wanajiona wanajeshi wakipewa elf 20 wanajiona ndo miungu

Ndani ya ccm usipoenda na agenda za bi msumi, utatekwa kama pole pole, utachapwa mpka matako ya chanike au ujiuzulu kama makamu rais nchimbi!!! CCM SAHIVI NI YA KIFAMILIA TU๐คฃ๐คฃ๐คฃ

Maana halisi ya UZALENDO ndani ya hii nchii imebadilishwa maana, na inatumika vibaya sana. Wao wanaamini UZALENDO ni kuipigania na kuilinda nembo ya chama na UHAINI ni kusimama katika ukweli. Inasikitisha sana na safari ni ndefu sana ๐ฅ๐ถ๐พโโ๏ธ

UVCCM 99% wako pale kwa sababu ya maslahi nothing else

Vibaka wanarushiana mpira acha wamalizane, our eyes will be wide open to see it all

@InexorablesoG Yani huu usingizi waliolazwa tutawaamsha tu

๐๐๐eti mavi

Misukule (UV na mali za CCM) kwao concept ya uzalendo haipo. Wao wanachojali ni kumwabudu mchawi KARABA ili awape pumba. Hawajali miaka 65 ya uhuru hospitali hazina dawa, barabara mbovu, shule hazina madawati.. n.k, wao wakishapewa elfu20 wanakuja kutukana, wewe unayewapambania.

Dah umewapa makavu live

Huyu anadhan uvccm wanaweza msikiliza? Ndio kwanza anawaunganisha

Ni Mbagala ciรฒ gongolamboto

Ishu ni deep

Kwa madini haya anayotoa dada wa Taifa halafu kuna wapuuzi wanamfananisha na yule dada mwenye maduka ya kukuza makalio Kigamboni na Sinza

UVCCM ni bendera Fata Upepo. Vijana wa CCM wana Usenge MWINGI. HAWAELEWI.

hao vijana ni kama mavi

ila siku izi mange unavaa kifahari๐,usinitukane ,tupo pamoja kwenye mapambano ,it's just a compliment

UVCCM wanadhani wale wazee ni wenzao, kitu wasichojua au wanakijua ila wanapuuza ni kutumika kwao kama puppets. Wote tuna njaa ya mafanikio ila ndugu zetu hawa wanatumika kukandamiza haki bila manufaa yoyote. Bado muda wanao wa kupigania haki, kabla iwe too late. God is watching

Uvccm sindio mazombi sasa

๐ฅ๐ฅ๐ฅ

Wale ni vilaza wanaweka chama mbele badala ya Taifa, wasipokuelewa basi.

๐๐๐๐

Waambie hao

Flem zake zipo mbagala

Kweliโฆ.

Douhhh๐โณ๏ธ

Wallah UVCCM tukae tutulie tujitathimini. Sisi ndo vijana tunaotegemewa kulitransform taifa letu kutoka kwa hawa washenzi waliotuharibia nchi yetu. Sasa kama vijana ndo tunashiriki kutengeneza taifa la mafisadi, wafiraji na wauwaji, thamani yetu iko wapi?

@mapendo_msaki Akili kubwa dada wa taifa. Mungu akubariki @mangekimambi

Natak waendelee kupoteana ivoivo
