正在加载视频...

视频加载失败

51,059 次观看 • 1 年前 •via X (Twitter)

11 条评论

AhmedBenBella🔟 的头像
AhmedBenBella🔟1 年前

Msikilize wakili Jacob apo video nimekuwekea kwenye comment kuhusu ukakasi unaoweza kujitokeza kwenye kesi dhidi ya Derrick junior jamaa aliyeonekana kwenye picha mjongeo akimpiga jamaa kwenye club 1245!👇👇

MUFASA. 的头像
MUFASA.1 年前

With no dis respect wewe Kama wakili ushawahi kusimamia case yoyote ambayo evidence zipo kw CCTV camera? Huwezi danganya au jitetea video ni ya zamani akati CCTV camera ina keep na ku show record ya date and exact time in hours, minutes and seconds ya kila tukio.

Denice Tumaini 的头像
Denice Tumaini1 年前

Hiki kinachofanyika hapa kinaitwa subjudice. Kinahamishia mjadala unaohusu ushahidi wa kesi kwenye mitandao na vyombo vya habari. Hili ni kosa tosha la kuondoka na leseni ya media achilia mbali kulala gerezani miezi 6. @TCRA_Tz hizi media huwa hazionekani?

Chaz_skills 的头像
Chaz_skills1 年前

Sasa wakili mbona nae hamna kitu footage zote zinakua na muda pale juu na sku na tarehe

Athuman💎 的头像
Athuman💎1 年前

Jamaa nibwege kwani jinai inaoza?

AhmedBenBella🔟 的头像
AhmedBenBella🔟1 年前

Umemwelewa lkn

Hafidhi Marijani 的头像
Hafidhi Marijani1 年前

Sema huyu jamaa hayo maswali yamekaa kizembe sana aache tu. Bastola inajulikana eti toy angeikoki aache kuchumia tumbo.

max 的头像
max1 年前

Ndio maana huwa tu natafuta mganga alie serious,sheria ina matundu kama neti,polisi kazi yao ni kuthibitishia mahakama kosa la msingj la mtuhumiwa,halafu mahakama inafanya kazi ndogo tu(kutafsiri sheria). Si kutoa haki hata siku moja.

Fatika 的头像
Fatika1 年前

Bado atakuwa na tuhuma zacmakosa matatu: 1. Threat to kill - kutishia kuua 2. Causing bodly harm - Kupiga mtu 3. Public disturbance - kushababisha taharuki

SPECIMEN XY🇺🇸 的头像
SPECIMEN XY🇺🇸1 年前

Jeshi la polisi wanajua walimpa kibari cha kumiliki bastola na alipewa leseni ya umiliki no doubt...et ni toy au kuna kibari cha kumiliki Toy ya basta

AhmedBenBella🔟 的头像
AhmedBenBella🔟1 年前

Nyie hamjaelewa sio km Ana mtetea bali anachojaribu kusema ni namna mahakama ikiamua kumtetea

相关视频