Загрузка видео...
Не удалось загрузить видео
Wapemba mna matatizo gani?
26,679 просмотров • 1 год назад •via X (Twitter)
Комментарии: 22

Hio ni lah-fudh ya Tanga ama mombasa kenya ndio wanaongeaga hivyo

hey do you like cinematic music?

"Mbuzi mkubwa weye" ndio bonge moja la tusi

😁😁

Mombasa hiii

Wadigo hao wa Tanga

Kama mpemba kabisa.

🫵 sio mpemba

Wadigo wa Mombasa , Kenya sio lafudhi ya wapemba hii

Mombasa

Huyu muunguja so mpemba

Sio mpemba huyu anaongea kitanga

alokuambia wapemba wanazungumza hvyo nani kaka?

Hakuna mpemba anaeongea hvo"kama lengo kuwasema wapemba tafta video nyingine,ila hii🚮

Jamaa anamchamba shem wak mtandaoni

Mombasa/kilifi hiyo

Swalehe @Abba_Loso njoo ujibu shtuma zako uku.

Hawa ni wadigo

@Dr_DGwajima kuna hadija huku kaachishwa shule halafu watu wanagombana kwenye maslahi.

Nakushauri tusifike kwenye ugomvi wa makabila Nyerere alikataa Mkuu 😒😒😒

😁😁

Sitaki 🤣🤣🤣
Похожие видео
Sensitive content
Bekasi mna nih #gay #gaybekasi
xy💦
38,879 просмотров • 2 лет назад
