77 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@AbcNgereza
Hii mlalo lushotoo bila shaka
19 likes

@Rahim_Meghji
Naam Lushoto hii
6 likes

@VJSizya
Katumba, Tukuyu
13 likes

@Rahim_Meghji
@sizya_victor Aah wapi 😁
2 likes

@VJSizya
Nimedaka sana huo uwanja
1 like

@Rahim_Meghji
@sizya_victor Lushoto hii
1 like

@VJSizya
😐😐😐

@OleSangka
Lushoto hiyo baba
11 likes

@Rahim_Meghji
@KaJoachim Aisee 🔥🔥🙌
5 likes

@OleSangka
Nimekiputa hapo jirani ni chuo cha uongozi wa mahakama
5 likes

@Rahim_Meghji
@KaJoachim Daadeki 🙌🔥🔥😁, aloo Tanzania ni nzuri
3 likes

@OleSangka
Kuna sehem huko mbele panaitwa magamba huko ndo switzerland kabisa yaan
3 likes

@Rahim_Meghji
@KaJoachim Aisee
2 likes

@OleSangka
Uzunguni kule ndo maana mjerumani aliwekeza sana kule
3 likes

@BabJ0N
Kama sio Lushoto basi Usangi mlimani uko
10 likes

@Rahim_Meghji
Lushoto au Bumbuli
7 likes

@Psiteshio1
Kipa nimemuaminia
8 likes

@Rahim_Meghji
Ana balaa..
2 likes

@innosgram
Hiyo huko juu ni baridi naona?🥶
7 likes

@Rahim_Meghji
Naam ukungu umeshuka
2 likes


























