正在加载视频...

视频加载失败

16,056 次观看 • 2 个月前 •via X (Twitter)

31 条评论

mkaruka 的头像
mkaruka2 个月前

Yan mmejua kuna vijana wa kufanya vurugu hamkuwakamata adi wanarudishwa kwao 😂😂😂 Watu sio wajinga bna nyie kubalini watu hawaitaki CCM na Samia wenu Mimi binafsi ni issue ya utekaji aloo ndugu zetu warudishwe

Baraka Kibona 的头像
Baraka Kibona2 个月前

Laiti ungejua yapasayo amani lkn Sasa yamefichwa! Akisha kusema hayo Bwana Yesu akaulilia mji. Majira yalikuwa yametimia lkn wanaopaswa kukutana na majira hawajielewi hawajui Cha kufanya ! Jambo hili lilimliza sana Yesu.

NABOSI 的头像
NABOSI2 个月前

🤣🤣🤣 usalama wa Taifa wa nchi hii basi mataka km uvccm 🤣

np 的头像
np2 个月前

Kama wamekodisha majeshi na ww taarifa unayo . Kazi imeshakuwa nyepesi kinachofuata nenda polisi katoe taarifa, alafu wao watajua wafanye nini. Kuliko kuongelea huku. Kwenye hilo huku hakuna msaada.

bwakila 的头像
bwakila2 个月前

Kwahiyo tuko na jeshi la hovyo ambalo intelijensia iko hoi mpaka watu wanakuja kimya na wanarudi kimya😂 yaani 2026 bado mnakuwa waongo hivi

Ezra Malambugi 的头像
Ezra Malambugi2 个月前

AMANI YETU KWANZA 🇹🇿

H E R R Y 🦉 的头像
H E R R Y 🦉2 个月前

Asante Mungu si ndugu yangu

Thomas Masilingi 的头像
Thomas Masilingi2 个月前

Tumeamuwa kuachia wapumbavu wawe wasemaji wa serikali, sasa huyu sijui Yona ukichunguza TIN number yake usikute haina contribution yoyote kwenye nchi hii

The 6th Estate 的头像
The 6th Estate2 个月前

Alikua afisa usalama chadema kama hujui

i®ockithere™ 的头像
i®ockithere™2 个月前

Interesting tactic considering that is exactly the little green men did last time geeting soldiers from ug to impersonate tz police, this is projection a t it’s finest

Against the World 的头像
Against the World2 个月前

Kinachoendelea kwenye hii nchi sio dalili nzuri kabisa

Tz kara 的头像
Tz kara2 个月前

Hivi hii ncho inajeshi kweli na linaangalia haya mambo au huu ni mkakati wao wa kuchafulia watu majina na chama chao mbona tupo nyakayi mbaya sana

Mabeba 的头像
Mabeba2 个月前

Chadem genge la wahuni

Prescot 的头像
Prescot2 个月前

Afya ujinga wewe ni muongo wa kutupwa,chadema ina pesa ipi ya kuwa lipa waasi?Mungu atakuzimisha kama mshumaa

Jamal Mbuzi 的头像
Jamal Mbuzi2 个月前

HECHE NI TAPELI

MWATEXI 的头像
MWATEXI2 个月前

Serikali inapotuma hawa wapumbavu kusambaza ujinga,Hili jambo litakuja kuligharimu Taifa,Ngoja leo tuone ni fahari lakini muda utaongea

MTUMISHI@adolph kalibhatwa 的头像
MTUMISHI@adolph kalibhatwa2 个月前

Msiwe mnatumalizia Bado kwa hizi taka taka

mtongere 的头像
mtongere2 个月前

HIV watoto wako huwa hawakwambii aibu unayo watia

Mzalendo Halisi 的头像
Mzalendo Halisi2 个月前

Hawa chadema na genge lao ndio wanaotumika kutuvurugia amani ya Taifa letu...

mdonyolengai 的头像
mdonyolengai2 个月前

Acha aongee ukweli maana wasenge mnataka maandamano bila kufanya kazi

babaliam 的头像
babaliam2 个月前

Kuna watu wanawazidi polisi inteligensia kwa asilimia 200

🗽𝑨𝒍-𝑩𝒆𝒓𝒕𝒐™ 的头像
🗽𝑨𝒍-𝑩𝒆𝒓𝒕𝒐™2 个月前

Nchi haielekei kuzuri ndugu zangu

Emmanuel Muganda 的头像
Emmanuel Muganda2 个月前

Huyu Yona muongo sijawahi kuona

Rashidi Hamimu 的头像
Rashidi Hamimu2 个月前

Adui wa Taifa letu ni adui yetu sote tuwakatae

sanja 的头像
sanja2 个月前

Mdomo uliponza kichwa zipo siku zinakuja tuombeane uhai, upandacho ndo atakachovuna

Only the strong 的头像
Only the strong2 个月前

CCM mmekosa hoja. Sasa ni chama cha kuiongelea Chadema na kunyoshea vidole wasio husika. Serikali ya aina hii, sioni ajabu kuona kuna Watu wapo jela kwa kusingiziwa Kesi. Hii imekuwa utamaduni wa CCM. Hatuwezi kua na Serikali isiyo wajibuka.

Balozi wa kupinga ukatili 的头像
Balozi wa kupinga ukatili2 个月前

WAMEISHIDWA KWA JINA LA YESU

Muha 的头像
Muha2 个月前

hapa ni sawa na kulitukana jeshi lote,JW,uhamiaji na Tiss kwamba wamekua dhaifu mpka kuruhusu hii kitu

Lukandilwa 💪 的头像
Lukandilwa 💪2 个月前

Yeye kwa akili yake anaona anaichafuwa chadema kumbe anachafua jeshi lote kwamba ni zaifu kama kweli wamepanga chadema hivo anacho jinadi kumbe jeshi halijui usalama uko wapi

Mtumeeeee 的头像
Mtumeeeee2 个月前

Kwaiyo sheghe Mwaipopo amuoni mbona huyu msenge hana akili mamae

producer MikMer 的头像
producer MikMer2 个月前

Kwahiyo kikao kilikuwa ni kumnyang'anya Heche nafasi au kilihusiana na wahasi mbona mnatuchanganya

相关视频