Wahuni sio watu ππππ
@godbless_lema1.3M followers
103,909 views
31 Comments
Comments from the original post on X (Twitter)

@mudryk_jr
Wahuni wanatumia tafsida sema wanaupiga mwingi kinoma ππ€£
52 likes

@Ahmad01883649
Huyu jamaa mkali sana ni Haki yake kwenye mashindano ya CHEKA TUU pale wasafi tv kuwa Mshindi π jamaa talent sana ππ
24 likes

@Rusco93
Sema huyu dogo kama yupo upande wa umma hivi !! Inakuja, inakataa ππ
22 likes

@Hekimatupu1
Kweli wahuni sio watu!!
6 likes

@mrunguj9
Kaka lema tujiandae kusimama na vijana Kama Hawa maana wanatumia sanaa yao ya ucomed Vizuri kufikisha ujumbe au Basi @godbless_lema Subili mkeka umetoka ππ
5 likes

@Thracianjackalz
Tonny kampora nani na wewe
4 likes

@BantezeShu55381
Et Kuna mkeka Kwan nyie chadema mkichukia nchi hamuwez kuwa na wahuni ?
4 likes

@Lukala_Ngesse
Jisajili 1XBET hapa π Promo code :WEKEZA
3 likes

@her__vee
Eti twende kwa Tony kapolaπππ 'dady'
3 likes

@alexNkulangaG
πππ dogo anajua
3 likes

@Lukala_Ngesse
@paulbazilmlay ππ
2 likes

@Hazipomdoni1232
sema ana kitu ila anaogopa
2 likes

@JuliethKumwaya
π€£π€£π€£π€£π€£ kweli kabisa sio watu poa
2 likes

@HamrabiHangaya2
Mti ulio na matunda ndio hupigwa mawe.Makonda is a real man. Tishio kwa wakubwa
2 likes

@EliudMujemula
ππ kujibwambafai kuna dhahana yake duuuhhhh
2 likes

@snakefey
HAHAAA NGOJA AKIBANANISHWA UTAJUA TU
2 likes

@zeBalozi
Eti Wazir jr Shentempo
1 like

@gerase01
Na hiyo, ndiyo maana halisi ya Cheo ni Dhamana. Hakuna mtu aliyeumbwa kwa ajili ya cheo fulani.
1 like

@faraja_kapinga
Kuna kitu hukijui ww na hao wa huni wenzako mtakuja kukimbiana 2025 na hizo njaa njaa zenu ohooooooo
1 like

@ally_rashi5992
ππππ
1 like









